UDSM kugoma...

Mbona sisi huku St. Augustine university of Tanzania utaratibu ndio uko hivyo miaka yote.! Unafafanya kwanza registration then unapata mkopo wako after a week halafu maisha yanaenda kama kawa..! Nipo mwaka wa tatu (Law) hapa SauT na ni mtoto wa mkulima napata loan 100%.
 
kwa swala la boom nawaunga mkono maana dada zangu wengi wamekuwa malaya kisa wanasaka mshiko boom limechelewa
 
nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!

Wasomi makini wa kina nani? Wataje ili tuwajue. Karibu wote wamedhalilisha taaluma zao kwa kujali matumbo yao. Mchango wao uko wapi katika jamii? Kujiingiza kwenye siasa za CCM na kuwa makatibu wizara UCHWARA? Ondoa ubumbuazi hapa.
 
Mbona sisi huku St. Augustine university of Tanzania utaratibu ndio uko hivyo miaka yote.! Unafafanya kwanza registration then unapata mkopo wako after a week halafu maisha yanaenda kama kawa..! Nipo mwaka wa tatu (Law) hapa SauT na ni mtoto wa mkulima napata loan 100%.

sa we hujui ka hicho chuo chako kiko kibiashara na hata wakifanya hvo ni halali tu?uctake kukilinganisha na hiki cha umma ambacho karibia 98% ni watoto wa maskini,kwa hyo kuambiwa kutumia utaratibu huo mpya ni sawa na kuwafanya watu washndwe kumudu cost za chuo ambapo madhara yake ni vijana kuanza kudrop out coz ya kushndwa kujilipia kutoka mifukon mwao...
 
[QyUOTE=Rejao;2788515]wazazi wenu walio vijijini, wanaohangaika huku na kule kuwapatia ada wanaelewa kuwa mnagoma? Hebu jifunzeni, migomo yenu.haisaidii chochote tena, tayari imeshazoeleka! Haina tena nguvu![/QUOTE]

We umeshaona wazazi wa vijijin tu,pili pili ale mwingine ikuwashe wewe.
Hao wa vijijin wanaosota na maisha magumu ya kupanda kwa sukari,mafuta ya taa,unga na mafuta.sasa hv waelewa.
 
ila senetor, c mwez umetia since vyuo vimefunguliwa, yaan mpaka leo hawajamaliza huo usajili! By da way udasa wamelifuatilia, msimamo wao ni up?
 
we uliyesema wamefuata boom na siyo shule.Ufikiri kwanza kabla ya kuandika, utasomaje pasipo hela tena maisha yenyewe yalivyo hapa dar.
 
ndio system zilivyo,si tunataka maendeleo bana,hata wasomao nje ndio hivyo,baadhi ya nchi ni lazima kila tarehe furani ya mwezi uregister ndio wakuwekee bumu

so kuwei wavumilivu nadhani lengo ni kuwabaini wale ambao hawapo chuoni lakini bumu wanalamba kama kawa
..Eng, tatizo la nchi yetu ni utekelezaji. Nia ni nzuri kwani ili uweze kupokea Boom lazima uwe mwanafunzi halali (registered), sasa ishu nadhani ni kuwa watu mnaweza kuwa mko chuoni for weeks hamjaweza kuregister for one reason or another. nadhani wangeweza kuwa na utaratibu wa kuwapa fedha kidogo za kujikimu mara tu wanapo ripoti chuoni say 100,000/- huku taratibu nyingine zikendelea. Nimwewahi kwenda kusoma nje nilipofika tu airport nikapokelewa na kukatiwa mshiko kidogo wa kujiweka sawa wakati paper work nyingine zinaendelea
 
we uliyesema wamefuata boom na siyo shule.Ufikiri kwanza kabla ya kuandika, utasomaje pasipo hela tena maisha yenyewe yalivyo hapa dar.
 
wazazi wenu walio vijijini, wanaohangaika huku na kule kuwapatia ada wanaelewa kuwa mnagoma? Hebu jifunzeni, migomo yenu.haisaidii chochote tena, tayari imeshazoeleka! Haina tena nguvu!

wewe mbona masaburi yako yamezoea lakini bado unataka?
 
nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!

wewe zuzu,unamaana gani kwamba udsm imetoa watu makini..wakati kikwete kasoma pale na ni kilaza tena kiazi kabisa!
 
nimesoma sana...msijione nyie mliopo chuo sasa hivi ndio wasomi. Kumbuka UDSM ina zaidi ya 50 yrs! Miaka yote walikuwa wanatoka graduates walio makini, siyo wa miaka hii!

Hahaha, graduates walio makini ndo wametufikisha hapa tulipo, tunatishiwa ucamerun!B.S
 
Hauwezi kutenganisha elimu ya juu na boom

A level na O level ulikuwa unapewa boom?
Msikariri..boom ni favour ya serikali tu. Ikitaka kukatisha boom siyo kwamba hamtasoma. Kwahiyo elewa kilichokupeleka shule siyo boom bali elimu
 
Back
Top Bottom