Appeal mechanism for first time loan applicants for the 2011/2012 academic year

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Friday, 28 October 2011 18:13
Following release of names of successful loan applicants for the 2011/2012 academic year, there are students who have expressed their intention to either appeal against amounts of loans given or to be considered for loans for those who have missed them.Since an appeal is a statutory right of a person/applicant, the Board hereby informs students who wish to appeal that appeals can now be done online through the HESLB Online Loan Application System (OLAS) (OLAS Welcome). Appellants are encouraged to make use of the OLAS Online Help Menu which is available to assist those facing difficulties.Appellants are required to pay an appeal fee of Tzs 5,000 through ZAP (Airtel Money) & M-PESA and keep record of the Transaction ID.It should be noted that a genuine appeal should be backed by substantial new information which were not previously provided in the loan application process.The deadline for the appeals shall be 31st December, 2011 beyond which no appeals shall be entertained.The Board would like to make it very clear that since the budget for loanable funds have already been exhausted, only genuine appeals worthy of re-consideration may be attended.
Issued by:EXECUTIVE DIRECTORHIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOAR

HAPO KWENYE RED,MH!TUTAWACHANGIA SANA BODI MWAKA HUU!SASA KAMA BUDGET NI EXHAUSTED,WATU WAKI APPEAL MIKOPO YAO ITATOKA WAPI?!!
 
Bodi ya mkopo naona inania ya kuwaibia maskini fedha zao yani hawa watu mbona wanasahau ubinadamu na kufanya pesa kama qualification ya kumuona G*d yani wamejisahau,Kwa taarifa ilio rasmi kutoka kwa waziri kawambwa ni kwamba wale wote waliokosa mkopo na hawawezi kumudu gharama za chuo basi waahilishe mwaka na kuomba mwakani kama watabahatika kupata.SOURCE: angalia kipindi cha dk 45 ITV jumatatu october 31.
 
We apply tu wao watajua pakupata pesa hizo. Hii ni serikali bwana. Bora uombe tu kuliko kuacha kuomba.

bodi ya mikopo nahisi hawazngatii vigezo kuna haja ya kuwamulika iweje mfano mtoto wa tajili apate mkopo na mtoto wa masikini akose? pia ada ya elf 5 tu ni mzigo unao mlazimisha mtoto na mlezi wake kwenda vibaruani.
 
Bodi ya mkopo naona inania ya kuwaibia maskini fedha zao yani hawa watu mbona wanasahau ubinadamu na kufanya pesa kama qualification ya kumuona G*d yani wamejisahau,Kwa taarifa ilio rasmi kutoka kwa waziri kawambwa ni kwamba wale wote waliokosa mkopo na hawawezi kumudu gharama za chuo basi waahilishe mwaka na kuomba mwakani kama watabahatika kupata.SOURCE: angalia kipindi cha dk 45 ITV jumatatu october 31.

Samahani kaka kwa sisi tulioshindwa kabisa kwenda chuoni kwa kukosa mkopo,hata tukiapeal wakishatupa ili iweje wakati tuko nyumbani?hawa ni washenzi sana,wamesababisha tushinwe kusajiliwa vyuoni kwa hiyo wametuona watutumie kama vitega uchumi vyao,hilo tangazo nadhani linawahusu waliosajiliwa vyuoni siyo sisi tuliouswahilini kwa sasa.
 
yeah!!huo ndo ukwel mkuu.
 
Back
Top Bottom