Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Innoexp, Oct 11, 2011.

 1. I

  Innoexp Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo jana tovuti ya heslb wametoa majina mapya ya waliopata mikopo yacyozidi mia 2 kwa chuo kimoja,
  HONGERA KWA WANASCIENC MLIOPATA
  Nasema hivi nkimaanisha kama wewe ni facult za social scienc na biashara ucangaike kutafuta jina lako maana hautalipata na c kwamba limesahaulika lah hasha,ila jbu unalo.,
  Kwa mtazamo wangu cjaona sababu nyingne ilyowafnya bod kutoa majina haya machache namna hii tena kwa facult chache ila 2 kuwatenganisha na kuwapunguza kasi wale waliokua mstar wa mbele katka kudai mikopo yao,
  Sasa jamani ivi wewe ambaye umepata mkopo sasa iv ni kwel utakaa kmya sasa na kuwaacha wenzako uliokua nao katka mbio iz za kusaka mkopo et 2 kwa sababu we co mhanga tena,???kama jbu lako ni hapana (genuine) bs kwel 2endelee kufatlia ishu hi mpaka ktakapo eleweka pale wizara ya elimu,
  NIC DAY 2 U ALL
   
 2. General mex

  General mex Senior Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mkubwa hayo majina yanapatikana wapi? Maana nilimuona mtu ana page moja tu na nikiingia site ya heslb hamna mabadiliko ama wameweka sa ngapi?
   
 3. I

  Innoexp Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingia aloctn brekdwn ata ivyo kwenye homepag wameiweka as a headlin,
   
 4. B

  Bayeke Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kufahamu mkuu ni chuo gani hicho ambao science wamepewa mkopo?
   
 5. I

  Innoexp Member

  #5
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We umeona kip ambacho scienc hawajapata zaid ya Duce ?
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Yako wapi sasa?
   
 7. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #7
  Oct 11, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red usipotoshe watu Innoexp,hayo majina yaliyotoka sasa ni wale first year students who were previously not allocated loans due to the following reasons:
  1. System coding problems.
  2. Differing index numbers between TCU admission list and OLAS list.
  3. Differing names.
  4. Different interpretation of Technical and Vocational Education Training (TVET).Wapo watu wa LLB,BAPRA,BAJ...sijaona upendeleo wowote hapo zaidi ya hizo sababu 4 walizotoa.Tusipotoshe watu na kukatishana matumaini bila kufikiria vizuri wakuu.!Inaonyeha watatoa batch nyingine soon maana wale wa due to budget exhaustion sijaona hapo!Tunachezewa ka mchezo hapo wakuu
   
 8. s

  stan b Member

  #8
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kundi lilobaki ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote baadha wamepata. hata wa bajet wamo
   
 9. I

  Innoexp Member

  #9
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo watakao├Âna napotosha mfano halic ukiwa ni ww,lakn kwa great thnkerz wataona najarbu kuamsha akil na kuwaconsciatize w2 kujua ni nn knaendlea,ebu tafuta proportn ya ao kina BA afu uone ni mim naepotosha au n ww unaejustfy 'kipao mbele',iv from the first alocation unaona kuna equality ndugu??
  JE CODING ERROR,DIFFERENC IN TCU N HESLB NAMES and wateva,hiv vyote majorit imetoka kwa education and scienc?
   
 10. s

  stan b Member

  #10
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  we umesema wa biashara hamna, mbona muccobs wamo?
   
 11. N

  NIMIMI Senior Member

  #11
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni majina 154 tu kwa wanafunzi wa Udsm, 219 Ifm nk.
   
 12. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wahuni tu! Watu wa budget exhausted hamna aliyepata!
   
 13. s

  stan b Member

  #13
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  BAJET EXHAUSTION wapo. uki goggle majina utawapata
   
 14. nukta

  nukta Senior Member

  #14
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mbona bodi hawataki kutoa maelezo kwa kundi hili watuambie basi lini walitupa mkopo na chuo kipi. Mana wanatuchanganya.
  Kama yupo mhanga mwenzangu wa kundi hili au anae fahamu naomba anipe maelezo,nijue nifanye nn.
   
 15. F

  Faymario Member

  #15
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wanafanya kamchezo kabaya devide and qncer
   
 16. s

  stan b Member

  #16
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nilkosea, kumbe yuko jamaa yangu tulikua wote kundi hili yeye amepata. jambo la msing alilofanya huyu jamaa alipeleka barua ya malalamiko mapema.
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hyo barua ilikua na maelezo gan,wasaidie wenzio wajue wapi pa kuanzia?
   
 18. s

  stan b Member

  #18
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  inategemea na tatizo la m2, lkn kwa PRIVIOUS LOANEES, inahitajika barua kutoka chuo alichopata awali yenye uthibitisho wa kurudishwa kwa mkopo kupitia hundi husika
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kuna dogo yuko udom ye almalza 4m 6 mwaka jana,akapewa 0% ya mkopo,akashndwa kuendelea na masomo,leo hii nae anaambiwa ni previous loanees na wkt hajalamba hata sent tano ya bodi,m2 kama huyu afanyaje sasa?
   
 20. nukta

  nukta Senior Member

  #20
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hii ndo shida ya nchi hii kila kitu ni Dar ss wamikoani tunaangukia pua. Sasa utajuaje kama mkopo waliupeleka chuo gani na kwa asilimia ngapi na kama hicho chuo waliurudisha bila ya bodi kutoa maelezo. Mm nashauri kwa mliopo huko jijini mtusaidie bodi watoe table itakayoonyesha mwaka,kiasi cha mkopo na chuo waliopeleka ili tuweze kufuatilia. Isijekuwa huu nimchezo mchafu wa bodi na vyuo kula hela zamikopo wakati wahusika hawajajiunga na vyuo vyao.
   
Loading...