Kama ilivyo ada, ina maana kwamba mgombea urais mwaka 2015 atatokana na wajumbe wa CC. Swali linakuja, je ni nani katika hawa atapeperusha kibendera:
Hussein Mwinyi, Mbarawa, Omar Yusuf, Seif Khatib, Samia, Maua Daftari, Meghji, Kinana, Lukuvi na Mwenyekiti wa Kagera wa CCM (Mama Buhie)...