Mchicha na Matembele ya Bonde la Msimbazi vitatuua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchicha na Matembele ya Bonde la Msimbazi vitatuua

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bassanda, Jun 28, 2011.

 1. Bassanda

  Bassanda Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maji yanayotumika kumwagilia mbogamboga katika bonde la mto Msimbazi. Miwa na mapapai
  pia vinapatikana kwa wingi.
  Hapo ni chini ya daraja lililopo eneo la Kigogo Sambusa.


  Msimbazi1.jpg

  Msimbazi2.jpg
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  kama haya ndio maji ya kumwagilia ndio maana umri wa kuishi kwa mtanzania unazidi kupungua kadri siku zinavyokwenda
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tuna wanamazingira, maafisa afya na kila kitu lakini bado biashara inakua na sisi wananchi tunaendela kununua mazao ya bonde la msimbazi

  ni dizasta
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Watanzania hatuna utamaduni wa kujali mpaka afya zetu tunazifanyia uzembe,tunasubiri madhara yatukute ndo tuanze kushangaaa,kwa mwendo huu wa kujirusha let us continue dying....there is no regret to such neglegence!!
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  So who are you complaining to? What action are you going to take. There are actions you can take. Stop eating those veges. In the long run it will deprive the growers and vendors of their market and they will stop producing. I did. Or start sensitising other people about the dangers of Msimbazi valley produce. Or sensitise the growers on the damage they are causing to their customers' health. And more. Stop mourning you young people, take action. But then most of you are not here in Bongo. You can afford to groan and grunt from the comfort of distant lands.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Eti Waafrika ni Mungu tu ndiye anayetulinda hivyo tuendelee tu kuwa careless..!!
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hapo unaangalia upande mmoja tu wa consumer na producer- mbona huzungumzii wachafuzi wa hayo maji kushughulikiwa?!. Yaaaaaaaani tumehalalisha utiririshaji wa maji machafu kwenye mabonde?!.
   
 8. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  Ndo'maana, vitabu vitakatifu vinaelezea ombea chakula kabla na baada ya kula.
   
Loading...