R.i.p mtanzania

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
Jamaa amefariki baada ya kunyeshewa na mvua kubwa sana kwa Babu Loliondo 199860_1808996180514_1108232046_32184439_5236382_n.jpg
 
RIP....lakini ilikuwaje mpaka akanyeshewa hivyo na kufa?....unaweza kufafanua kidogo?
 
Mbona hiyo inatisha. Kwa kweli CCM inazidi kupoteza utu wa mtanzania. Huwa najiuliza hivi kweli nchi yangu ina viongozi wenye uchungu na watu wao? Yaani tungeuza tu shangingi moja la mkuu wa wilaya, tungeweza kupata mahema kibao ya kuhifadhia watu kwa babu. RIP kamanda, ulikuwa unapigania afya yako mpaka dkika ya mwisho. Mungu atakusamehe makosa yako kwa kuwa ameona unavyohangaika mpaka unakata pumzi
 
Rural Swagga, kama aliweza kutambulika jina tafadhali turushie, ni kama namfananisha vile
 
Inavyoonekana jamaa alikuwa peke yake bila msaada wa mtu yeyote

nikiambiwa niipe maneno hiyo picha nitasema.....inaonekana alikuwa mgonjwa sana kitu kama TB hivi,na alitelekezwa na ndugu zake kwa hiyo mpaka mauti yanamkuta alikuwa peke yake
 
Huyo mvua mvua gani jamani? Kwani alikuwa akienda kwa miguu?
Mbona nasikia kule kunawanyama poli.
 
WanaJF kweli kuna uhakika haya mauti yalimfika huyu mpendwa wetu akiwa wa babu Loliondo? Na je tunauhakika ni Mtanzania au picha tuu ilipatikana kwenye mtandao fulan ikabandikwa hapa na kuhusishwa na loliondo ili kuitia dosari kazi ya babu? Mazingira ya kwa babu tungeona hata ule umati uliofurika kule hata kama ni usiku basi tungeona hata msururu wa magari dalili za kwamba hapa ni loliondo. Tunaomba mtoa maada aweke vielelezo na vyanzo vya habari ili tujiridhishe na habari hii kabla ya kuanza kuilaumu loliondo na mvua. mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema popeni. nawakilisha
 
mbona kama kashikilia tape measure watumiayo mafundi?

na hana shati wala viatu? kimempata kitu gani huko kwa babu? na sinasikia mkono kapeleka mahema kule? yeye hakuyaona na kuyakimbilia kujihifadhi? au alikuwa njiani kwenda/kutoka huko/

any way, maswali ni mengi kuliko majibu

RIP mpendwa

Bwana alikutoa na Bwana amekutwaa, jina lake na lihimidiwe
 
Mungu ailaze roho yake pema peponi. Wa2 waache kuwakmbia ndg zao jman hyo ni dhambi. Ukmkimbia nan amsaidie wkt kla m2 kaenda na mashda yake?
 
Mbona hiyo inatisha. Kwa kweli CCM inazidi kupoteza utu wa mtanzania. Huwa najiuliza hivi kweli nchi yangu ina viongozi wenye uchungu na watu wao? Yaani tungeuza tu shangingi moja la mkuu wa wilaya, tungeweza kupata mahema kibao ya kuhifadhia watu kwa babu. RIP kamanda, ulikuwa unapigania afya yako mpaka dkika ya mwisho. Mungu atakusamehe makosa yako kwa kuwa ameona unavyohangaika mpaka unakata pumzi


mbona unachelewa sana ku realise mambo jamaa!
 
Kuna uhakika gani kwamba ni Loliondo na siyo mzungu wa unga kule Hananasif?? Tuwe na supporting facts jamani siyo unaokota picha za Kibera za wanywa changaa unaziweka huku nanyi mnasupport Eti mabo ya Kikombe Hayo!!!!
 
Huyu ndugu alikuwa chrönically ill, mbona hana shati?? Hayo mazingira kweli ni loliondo??inawezekana afariki kufoleni akosekane hata msamaria mmoja kumfunika?? Nachelea kusadiki kama ni loliondo kweli. All in all apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom