Kitu Baabkubwa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
TANGAZO KWA WADAU WOTE, GARI INAUZWA, KAMA MNAVYOIONA, IKO KATIKA HALI NZURI, INATEMBEA, FULL AC, FULL MZIKI NA INA UWEZO WA KUBEBA HADI TANI 3 ZA NDIZI MBICHI. ILI KUIONA NA KUJUA BEI, FIKO ROMBO MJINI....!
 
Harafu haliko kijijini liko mjini ukiangalia barabara lami na nyumba nzuri trafic hola.
 
TANGAZO KWA WADAU WOTE, GARI INAUZWA, KAMA MNAVYOIONA, IKO KATIKA HALI NZURI, INATEMBEA, FULL AC, FULL MZIKI NA INA UWEZO WA KUBEBA HADI TANI 3 ZA NDIZI MBICHI. ILI KUIONA NA KUJUA BEI, FIKO ROMBO MJINI....!
Mkuu rombo kuna minazi naona pembeni hapo mtaani kuna miazi labda tuifanyie kazi. sijui ni machoyangu hebu tumchek Dena vip hii
 
Duh...hata trafik wataigwaya kuistopisha..kitu mwendo mdundo..unaliunga nayo hata kwenye msafara wa mkulu...ahhhaahahaha....aahahahahah
 
Baada ya kufuata masharti ya kilimo kwanza jamaa kapata mazao ya kutosha anapeleka sokoni!
 
Back
Top Bottom