Recent content by Bariki Blessy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliyewahi kusoma Malawi

    duuu mkuu kweli au mizinguo?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliyewahi kusoma Malawi

    habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni msaada naomba kwa waungwana wenzangu watanzania wenye moyo wa upendo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda naombeni msaada

    hataki kula ? eti nn njaa haija mkamata vizuri atakula tuu chezea njaa ww
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wakenya na matani yao

    iyo umetishaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote uki install apps kwenye memory card?

    nashukuru kwa ishauri wako boss
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote uki install apps kwenye memory card?

    asante mkuu kwa msaada wako na je ukubwa au udogo wa memory card unaweza kuathiri speed ya ku tumia apps zilizopo kwenye memory card
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anasema tuachane lakini tuwe marafiki, inawezekana kweli?

    eti ajuza nimecheka hadi basi we acha tuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote uki install apps kwenye memory card?

    asante mkuu kwahiyo nikiwa na memory card original kabisa hilo tatizo haliwezi kutolea sio
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote uki install apps kwenye memory card?

    habari za saa hizi waungwana Nina simu ya Huawei memory yake ya ndani ni ndogo sana sasa nimekuwa niki download apps na kuziweka kwenye memory card lakin baada ya muda memory card zinakuwa hazisomi tena nimejaribu kama memory card tatu tofauti na zote zimekufa kwahiyo nilikua naomba kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Najua kuimba lakin sina wa kunisaidia kutoa nyimbo!

    ongera kijana kwani unafanya mziki wa aina gani hip hap bongo flavor au music gani
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu ni sehemu Takatifu, Hakuna wasanii kwenda hovyo hovyo

    nani kasema hayo mkuu magufili mwenyewe au
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

    dah watu wengine huwa munatupa burudani humu mujue you have made my day
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku logout JamiiForums

    nimekua nikilitembelea hilijukwa kwa muda mrefu sikuwa na account jf ila kwa sasa nimeona na mimi nijiunge mr.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku logout JamiiForums

    nashukuru kwa hilo ila situmii iyo app
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku logout JamiiForums

    Waungwana naomba mnisaidie jinsi ya ku-logout JamiiForums, mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa msaada tafadhali!
Back
Top Bottom