Msaada: Jinsi ya ku logout JamiiForums

Msaada: Jinsi ya ku logout JamiiForums

Bariki Blessy

Member
Joined
Nov 5, 2015
Posts
16
Reaction score
3
Waungwana naomba mnisaidie jinsi ya ku-logout JamiiForums, mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa msaada tafadhali!
 
Kama unatumia android JF app pale mwanzoni juu karibu na setting ndio kuna option ya kulog out.
 
Waungwana naomba mnisaidie jinsi ya ku-logout JamiiForums, mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa msaada tafadhali!

attachment.php
 
Attachments

  • JF Logout.JPG
    JF Logout.JPG
    9.1 KB · Views: 366
Kwani unalog out uende wapi?

Kaa humu humu ujaribu kupitia sheria za JF na posts tamu za nyuma ambazo ulikuwa bado hujawa member.
 
Huyu itakuwa aliifanya web browser yake iweke kumbukumbu ya nywila...

Na pengine ana ka-ID kengine ka kufanyia fujo anataka kukatumia...:becky:

Kwani unalog out uende wapi?

Kaa humu humu ujaribu kupitia sheria za JF na posts tamu za nyuma ambazo ulikuwa bado hujawa member.
 
Waungwana naomba mnisaidie jinsi ya ku-logout JamiiForums, mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa msaada tafadhali!

Tuambie Kwanza Ulivyo Log In Mkuu. Uwe Mvumilivu Tu Kwa Majibu Utakayopata Humu Kwani Hii Ndiyo JF.
 
we usityuzingue bana,nenda juu kbsa ya JF,pemben kna maneno haya,
Touch Log out.
 
Huyu itakuwa aliifanya web browser yake iweke kumbukumbu ya nywila...

Na pengine ana ka-ID kengine ka kufanyia fujo anataka kukatumia...:becky:

Ha ha ha, hafu jamaa siku hizi wanamerge acc, unashangaa tu unakuta umecomment kwa hii inatokea kwa hii.
 
Kwani unalog out uende wapi?

Kaa humu humu ujaribu kupitia sheria za JF na posts tamu za nyuma ambazo ulikuwa bado hujawa member.

nimekua nikilitembelea hilijukwa kwa muda mrefu sikuwa na account jf ila kwa sasa nimeona na mimi nijiunge mr.
 
Ha ha ha, hafu jamaa siku hizi wanamerge acc, unashangaa tu unakuta umecomment kwa hii inatokea kwa hii.

Nimeelewa kwa nini unaona mtu ana cpmment kwenye ile mada akitumia jina lingine lakini unaona kabisa kuwa ni yule yule.
 
Huyu itakuwa aliifanya web browser yake iweke kumbukumbu ya nywila...

Na pengine ana ka-ID kengine ka kufanyia fujo anataka kukatumia...:becky:
Ikiwa niliifanya browser yangu iweke kumbukumbu ya nywila, nifanye nini ili kuweza ku log out?
 
Back
Top Bottom