Ndugu zangu wana JF naombeni msaada wenu kidogo, wakati nipo mdogo kule kijijini niliwahi kusikia kuwa serikali hairogeki nikakubaliana nao, lakini jinsi hali ilivyo hapa tz naanza kuamini kuwa kuna watu wameiloga serikali hadi haielewi majukumu yake kwa raia, kwa sababu mfano rahisi niliwahi...