Msaada kuhusu Elimu yangu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu Elimu yangu!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JoJiPoJi, Jun 21, 2011.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Baada ya kutafakari sana nimeona hapa ndio sehemu pekee ya kupata msaada wa kuelewa elimu yangu ipo wapi,

  Kwa kifupi nilifali Form 4, baada ya hapo nikaona nianze tu na kitu kingine
  Ndio nikaanza kusoma Certificate ya Computer Repair & Maintenance, nilipomaliza nikajiunga na Diploma ICT nikafanya nikamaliza, nilipomaliza diploma nikaenda kufanya Advance diploma ya International Adv IT so kwa sasa nipo hivyo.

  Sasa kikubwa ninachotaka kufahamu, je nipo kwenye LEVEL gani kama nikitaka kutafuta ajira?

  Msaada wenu ni muhimu sana kwangu
   
 2. Baridijr

  Baridijr Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo siyo issue kubwa kwa ninavyojua mimi unakuwa tu kwenye level ya mwisho so hapo upo kwenye level ya AD, ila kwa wanaojua zaidi watakusaidia
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  broda una ilimu kubwa sana
  undergraduate ina maana uko equivalent na degree holder u can work in anywhere duniani
   
 4. i411

  i411 JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wewe ni sawasawa na second year in a university kwahiyo unaweza unga university yoyote uingine second year. Umebakiza kama miaka miwili ya kusoma uwe na degree.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  hii nayo kali...
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  duh.............
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  are u serious?
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Kiukweli wadau mmeniacha njia panda, bado nahitaji mawazo mapya kwenye hili suala
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ulizia wizara ya elimu, nahisi wanaweza kukusaidia... kwa sababu wao ndio wenye kushughurika na mitaala ya kielimu.
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,237
  Trophy Points: 280
  unauliza ili uapply kazi, shule ama!??
  maana sababu pia inadetermine jibu utakalopata!
   
 11. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Mkubwa hapo yote mawili, kazi na shule
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,237
  Trophy Points: 280
  Nifahamuvyo kikazi Advanced diploma ni equivalent to an undergraduate degree na kielimu ni hivyo but kwenda masters lazima uwe na other qualifications...alafu wanabase sana kwenye matokeo yako ya nyuma. So ni afadhali kupiga PGD.
   
 13. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unapoulizwa una elimu gani swali hilo hujibiwa kwa kiwango cha elimu ya juu ulichokipata. Kwa mantiki hiyo wewe ni AD holder.
   
 14. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Dah mkuu umenisaidia sana, sasa je hawa waajiri wanakuwa na uelewa wa kutosha juu ya hilo, chukulia mfano kwa haya majeshi yetu sidhani kama wanaelewa hilo, iwapo wanahitaji watu wenye degree au equivalent naweza kupokelewa?

  Ahsante mkuu
   
Loading...