sijaipenda... haina mvuto, haina utaalamu,imejaa siasa, inatetea mafisadi, inawavunja moyo wapambanaji, imejaa uoga wa kuiogopa CDM, haiwajengi vijana wa CCM, inawapa jeuri CDM, haieleweki kwa ujumla wake inazungumzia mambo gani ya msingi,sijui alilenga kufikisha ujumbe...