Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya.
5. January Makamba Majungu na tamaa ya madaraka {kubebwa baba hayupo tena}
6. Emannuel Nchimbi..kiongozi wa wasomi feki
7.Makongoro Mahanga Bingwa wa uchakachuaji wa kura na vyeti vya digrii
 
uhuru utatufanya tucheke siku nzima,nimeipenda hiyo ya makongora mahanga manake ni mbunge wangu
 
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako!

Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba)

Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe

Adam kigoma malima--mkuranga--kubadilisha majini,baada ya sheikh yahaya kufa amepata mganga mwingine na majini yatamtoa

John chenge--bariadi--mshtuko wa matokeo ya kuvuliwwa gamba

Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa

Anne kilango malecela--same--=tamaa ya kurithi mali za bwanake zitafanya watoto wa bwanake wamtoe

Augustino laytonga mrema-himo--kisukari na kale kaugojwa ketu

Ezekiel maige--msalala--kujipendekeza

Gabriel makala--mvomero--kujirusha na tamaa ya wanawake

George mkuchika--newala--roho mbaya

Hery shekifu-lushoto-anajua mwenyewe sitaki kutaja hapa

John mmomose cheyo-bariadi--tamaa na usanii

Jonh chiligati-manyoni-roho mbaya na uchawi
aaaah... huu upuuzi kutoka kwa kiranja wa upuuzi haustahili kuwemo humu..
au unadhani na sisi ni wauuzi kama wewe!!!!
ahhhh... INAKERA
 
Kuna steiven masele mbunge wa viti maalumu wa kiume shinyanga mjini hafiki 2013, kisukari kinamsumbua vibaya, pia yupombunge wa magu mjini yeye atakufa very soon

1.lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.halima mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John mnyika, jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji petel msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana mbeya.
5. january makamba majungu na tamaa ya madaraka {kubebwa baba hayupo tena}
6. Emannuel nchimbi..kiongozi wa wasomi feki
7.makongoro mahanga bingwa wa uchakachuaji wa kura na vyeti vya digrii
 
"Anne semamba makinda--njombe-tamaa ya kuolewa"

Hah hah ha . Anamvizia nani aliyefiwa na mke?
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi

Membe: swala la David Camerun
Lusinde: Mtera - hajui kiswahili vizuri
Lukuvi: Kasahau wapiga kura sababu ya uwaziri (anatumikia mabwana wawili)
Rage: Msomali
Kayombo: Kujenga chuo kikuu Dar badala ya jimboni kwake
Komba: Kwaya zimepitwa na wakati labda aanze kuimba bongo flavor
Ngeleja: Kashfa zimemuheremea

NB: Ule muda wa kushikilia jimbo muda mrefu sasa umeisha, na ukimaliza miaka mitano jimboni wewe shukuru sana
 
Weee TOPTHINKER!!!!

Ume prove failure! Mbona jimbo la Kigoma Kusini kwa KAFULILA hukuliorodhesha???

Nadhani itabidi uje na List mpya, hii hapo juu siiamini tena. Naona itabidi urudi tena darasani au kwa sangoma wako ukafanye utafiti uliokamilika, Asante.
 
1.Lema, dhambi ya ujambazi inamtafuna.
2.Halima Mdee, kaacha majukumu ya ubunge kakimbilia urembo.
3. John Mnyika, Jimbo limemzidi uzito.
4. Mchungaji Petel Msigwa, huyu kajisahau anadhani yupo kanisani
4. Joseph Mbilinyi huyu ni mzigo kwa wana Mbeya..

Hawa ni baadhi ya wabunge ambao majimbo yao yatakuwa wazi

1.Lema...namba moja..kama Lema ana dhambi ya ujambazi tafadhali wakilisha evidence yeyote au kithibitisho chochote cha kukamatwa na polisi...kiabala ajawa mbunge zaidi ya maneno ya khanga ya bwana Zombe! Lema ana kesy yeyote ya ujambazi

2.Halima mdee..,yeye ni msichana na public figure lazime ajirembe! wakina vicky kamata,catherine magige au january makamba huwaoni

3.Peter Msigwa...huyu jamaa alipata kura nyingi kutokana na heshima yake ya uchungaji...nadhani wanairinga wanalitambua hilo..ndio maana wakampa kura! kwahiyo kama ameconcentrate kanisani wananchi wake wanamuelewa! kwani kanisa linatoa sio huduma za kiroho tu bali shule,huduma za afya na n.k na hata mashirika ya dini za kiislamu.

4.Joseph Mbilinyi..kumbuka yeye ni waziri kivuli wa habari,utamaduni na michezo! sasa hivi yuko katika mapambano dhidi ya wanyojaji wa muziki wa tanzania kupitia antivirus! na kumbuka yeye ndio alikuwa mtu pekee aliyeweza kuzima vurugu za wamachinga

5.Tukija kwa John Mnyika..ni kweli ameelemewa! Jimbo la ubungo sio jimbo la kitoto lina changamoto nyingi...,kitu ambacho kitaweza kumsaidia ni kuachana na masuala na majukumu ya kichama kama mkurugenzi wa mambo ya nnje na kaimu katibu mkuu na kukocentrate katika jimbo lake...,lakini vilevile mnyika anajitoa sana na kuvuka hata mipaka ya majukumu yake ya ubunge

Ni vizuri uwende kusoma na kutambua kazi,majukumu ya mbunge! mbunge kazi yake ni kusimamia matatizo ya msingi pamoja na kumwakilisha mwananchi katika serikali...mbunge wako hawezi kukufanyia kila kitu naye ana mipaka yake...,na kumbuka mbunge hatoi hela kujenga barabara,zahanati,au shule hilo ni jukumu la serikali yeye kazi yake ni ufuatiliaji
 
Hongera mwana CHADEM kwa kuliweka hilo sawa!
 
At the end of this threat, itabidi tuvunje Bunge na kuita uchaguzi mkuu maana hakuna atakayebaki!
 
Hii sasa kali! Mungu awaongoze kama tu walishinda ki halali, ila kama 'walishinda' kwa kutumia sayansi ya kishetani, Shetani awaongoze njia ya kutokea kwa maana imeandikwa kwa mlango mmoja wataingia ila watatoka kwa milango saba,.
 
Back
Top Bottom