Zitto Kabwe aondolewe nafasi ya naibu katibu mkuu

Kwa sababu anatoka Kigoma? Hao wanafamilia wa Ndesamburo, Mbowe na Mtei wana nini kumzidi Zitto? Mbona hamkemei uhuni na upuuzi unaofanywa na wanasiasa uchwara kama Mbunge Lema?

Zitto wakomalie hawa wahuni, infact unastahili kuwa Chairman ili kuondoa ukabila, ukiritimba, uhuni na uoza mwingine kwenye CDM.

Ninaamini kuwa Zitto akiwa kiongozi mkuu wa CDM, Tz kama nchi itajivuania kuwa ina credible opposition party.
 
Hata mie ntamuunga mkono Zitto as Zitto ingawa sito kuwa mwanachama wa magwanda, never.
 
Kwani Unapokuwa mwanasiasa hauruhusiwi kufikiria?
Zito na Shibuda nawakubali kwa misimamo yao. Si kila kitu useme "ndio"
 
Kwani si ndiye yule kijana aliyewaita maswahiba wake kule Igunga ati kuzungumzia muafaka na uchaguzi wa amani, sijui Bashe na Makamba walimlenga vipi, kitendo kilichozua mtafaruku kwa sababu maskini hakujua kumbe juzikati yule mbunge wa sumbawanga mwenye jina la jinsia tofauti na yeye aliwarushia wapiganji risasi katika harakati za kumnasua kimada wake. Tufran ilikuwa pana mpaka Mzee mzima Slaa alipoenda kuamshwa alipokuwa kajipumzikia baada ya mapigano makali kumngoa nduli magamba, ndipo akautuliza moto. sasa naibu katibu unaorganize mkutano na upinzani katikati ya mapambano!!! huku katibu wako mkuu kajipumzisha!!? Watu wakisema unabeba agenda za siri utakataaje. Wewe ulikuwa mtu muhimu sana, kumbuka moto wenu kwenye bunge lililopita ulileta mwamko mkubwa wa siasa. sasa sijui nuksani gani inakuandamba na utatolewa nje kwenye tasnia ya siasa na kama upepo jina lako litafutika..KAMA HUAMINI waulizage ZE KOMEDY..
 
Kweli mkuu Director1 Huyu Bwn Zitto haeleweki,

Kwanza uchaguzi wa Igunga kabla ya kuongea na wenzake yeye aliwahi kupost matokeo na kuomba watu wakubaliane kushindwa!!!!!!!! Kabla hatujakaa sawa akasisitiza kuwa tukubali matokeo kirahisi tuu, kama vile haikumpa taabu kushindwa uchaguzi!!!!! Tunajua yeye na Bwn Kafumu wanafahamiana coz walikuwa wote kwenye tume ya madini, zimwi likujualo--------!!!!!!!!

Sasa huyu Bwn vipi yuko so deep with the maghamba caucus, what do we expect!!! Kuna hints kibao za kona za huyu Bwn!!!!!!!! Kama kuna lengo la kuchukua dola, CDM chukua uamuzi mgumu mambo kabla hayajaharibika!!!

hivi yeye ndiye msemaji wa chama?nafikiri amekosa despline'
 
Kweli mkuu Director1 Huyu Bwn Zitto haeleweki,

Kwanza
uchaguzi wa Igunga kabla ya kuongea na wenzake yeye aliwahi kupost matokeo na kuomba watu wakubaliane kushindwa!!!!!!!! Kabla hatujakaa sawa akasisitiza kuwa tukubali matokeo kirahisi tuu, kama vile haikumpa taabu kushindwa uchaguzi!!!!! Tunajua yeye na Bwn Kafumu wanafahamiana coz walikuwa wote kwenye tume ya madini, zimwi likujualo--------!!!!!!!!

Sasa huyu Bwn vipi yuko so deep with the maghamba caucus, what do we expect!!! Kuna hints kibao za kona za huyu Bwn!!!!!!!! Kama kuna lengo la kuchukua dola, CDM chukua uamuzi mgumu mambo kabla hayajaharibika!!!
hayo maandishi MEKUNDU ni kiashiria cha hatari. na viashiria hivyo ndio vinavyoicost CDM na ofcourse ndio kaburi la CDM. wenye akili zao ndani ya CDM wameshaanza kuchukua hatua ya kubadilisha mfumo ,mtazamo na hata mtindo wa chama katika kufikia malengo.Ila walikokosea ni hapa tuuuuuu:- HATUA WANAZOZICHUKUA WAO HIVI SASA, Zitto kabwe alishawaza na kutenda hivyo tangu kitambo na kila siku viongozi wenzake wanajikuta wameachwa hatua kadhaa na huyu kijana huyu
 
Back
Top Bottom