jografia ya nepal sio poa kule sehemu kubwa ya ardhi ni miinuko milima mirefu mabonde kumbuka mlima everest ambao ndio moima mrefu sana duniani safu ile inapatikana nepal kule sio poa
wakati unasimamia kucha hukuwaza hayp?? sasa bora wewe mimi wazazi hawataki kunipa binti yao na kashajifungua na wanataka matunzo daily 10k huduma ya bint na kichanga.
acha kuota ndoto za mchana chelsea sio soko lile uyo dogo hauzwi hata mkiweza kukubaliwa kuuziwa hela yakumnunua parmer ineos labda wauze magari hela yote waweke kwenye kibubu miaka mitatu. au mumsubiri amalize mkataba 2033
ww sio mtabiri ila kwa maelezo ya bi mkubwa inaonekana hivyo alisema wana project ya miaka 15 wasingependa kuona inaishia njiani lazima kuwe na watu wao wakuendeleza kile walichokianzisha kwaiyo watu wenyewe ndo kina deo.
nyie hampo siriaz saiv ndio mnalalamika mabeki si mngekuja chelsea tulikuwa na mabeki kibao kina disasi tosin na badiashile si tungewauzia bei nzuri kabisa wanacheza popote hao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.