Yeriko Nyerere aendelea kusota rumande

Yeriko Nyerere aendelea kusota rumande

Cha msingi yupo hakuna shida sana hii serikali si ndo ile ya kushindwa kila kesi
 
Wacha Asote si hataki Kukaa Uraiani

We hujiulizi Kwanini Mimi na wewe hatujakamatwa na hatujawahi Kukamatwa?

Mchuma Janga hula na Wakwao.
Wewe nani mpaka ukamatwe??? Jiulize utapata jibu mchumia tumbo wewe
 
Back
Top Bottom