Recent content by Bandika Bandua

  1. B

    picha za vinega zinaongea bila hata maneno yoo part 2

    Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...
  2. B

    Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega

    Hii nayo ni thread!upupu mtupu ptuuu!
  3. B

    Afande Sele ndani ya STR8 music yoo.....

    King of rhymes,king of all the times,the legendary himself,Darubini hitmaker baba Tunda Afande sele baada ya kumkacha Sugu atakuwepo jumamosi mtu mzima ndani ya str8 music atajumuika yeye na majembe longtime kitambo GWM,MANZESE CREW,LWP,KIKOSI CHA MIZINGA,famous Jay more,more technics,more...
  4. B

    Tarehe 26/11/11....yoo

    kinondoni kwa mach..oko kumejaaliwa...alafu machoko wa kinondoni kwa kujihami hamjambo...
  5. B

    Tarehe 26/11/11....yoo

    Unataka ukutane na mimi!khaa ili unijue?khaa ukinijua mimi ni nani utaniganda...masharo'uharo' utawajua tu..Inaelekea unapenda sana mauzo halafu watu hawakuiti muuza sura,ukaamua kujiita khaa..afu unaonekana unapenda sana kushobokea ma star!khaa mdananda yoo...
  6. B

    Tarehe 26/11/11....yoo

    Washamba utawajua tu..hivi hujui kuwa str8 music ipo sambamba na kampuni ya TCC?inayotengeneza Sigara za SM(Sweet Menthol)..Mimi nafanya biashara na hawa jamaa sisi kama sisi wahusika tunaiitaga Sweet music,kama hujui uliza kilaza wee yoo...
  7. B

    Tarehe 26/11/11....yoo

    Hao wapiga kura wake waliomchagua nna mashaka na akili zao,.yoo
  8. B

    Tarehe 26/11/11....yoo

    Dj jD ni old fashion ..Zero ni new generation..Kwa bahati nzuri nmehudhuria show nyingi Jd (club) na redion nimemsikilza sana Yan umlete sas hv umshndanshe na Zero?lzma atapotea huyu jamaa anaturushaga sana maisha club na hapo XXL ndo ucpme yoo..
  9. B

    Tarehe 26/11/11....yoo

    Itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo... 1.Sugu vs Ruge 2.Vinega vs T.H.T 3.Sayansi vs Leaders 4.Deiwaka ent vs Sweet music 5.Dj Jd vs Dj Zero 6.Business times vs Prime time promotion 7.Wahuni vs wastaarabu 8.Wasanii waliopotea vs...
  10. B

    Mahojiano Live na Shukuru Kawambwa. CLOUDS FM acheni uongo

    Yan watu humu wanasikiliza clouds ili waje kuongeza idadi za posts zao JF..Si muache kusikiliza kwani radio iko moja?acheni unafiki clouds watawanyonya ****** yoo...
  11. B

    Wakubwa shikamoon,wadogo habari zenu.

    kwa nn huja ji-register kwa jna lako kamili?
  12. B

    Yo yo yo wots up meeen?hodi meen

    acha wivu wa kipuuz weweee..ultaka akucfie wewe..ameanza tabia ya kucfia watu kwangu..we unasemaj?
  13. B

    Yo yo yo wots up meeen?hodi meen

    nashukuru kaka..tutakutana tu huko
Back
Top Bottom