Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega

Discussion in 'Celebrities Forum' started by tindikalikali, Nov 23, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Jamaa wanapiga mapini ya ukweli sana, Antivirus inagongwa kama kawa.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hawa vinega nao....hivi kwanza kwa nini wanajiita Vinega?
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mi mwenyewe bdo sijajua, wapo studio muda huu
   
 4. B

  Bandika Bandua Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nayo ni thread!upupu mtupu ptuuu!
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kweli wewe bandika bandua.
   
 6. K

  Kalila JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kitaa kimenuka wafu fm nao wanahaha hadi wanatafuta wasanii wakongwe kwenye shoo yao wamefua na huyo dmx haji ng'oooo hahaha huyo ndo sugu mnataka kumfanya diamond na barnabas ndo ma legend hahaha
   
 7. K

  Kalila JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vinega wa mikakati clouds hamlali mnamuota sugu na huo mwanzo hadi mikoa yote wawajue tunaweka wazi
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe ni kinega?
   
 9. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  afu anaonekana ni dj wa magamba radio!
   
 10. Wakusini

  Wakusini JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 80
  Wiki ya jana nlikuwa tunduru,kuna vibanda kama vitano nlisikia wanagonga mixtape ya anti vrs dah! Tena wanalipenda sana tamko la Ruge teh teh teh! Vinega ni noma! Safi sana kwa kuwafungua
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vinega nawakubali sana Sugu na vinega wanaleta mapinduzi ya mziki Tanzania ruge kaa chonjo mlete hadi jay z tutawafunikaaaaaaaaa
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ant-virus with no apology
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  lazima wayasikie wasiyoyataka, safi sana Times Fm>kesho Sugu ndani ya nyumba.
   
 14. K

  Kalila JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ruge anahahaha sasa watu anaowapa complimentary wanaziuza wanasema wanakuja kwenye shoo ya vinega atajuta kumdhulumu sugu ishu ipo kwa jamii sasa antivirus talk of the town wanavyuo watakodi mabasi makubwa hadi ustawi
   
 15. K

  Kalila JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mm ni kinega ww njoo ustawi utuone na pia upate kitabu cha sugu. Mwambie ruge na yy atoe kitabu basi tuone mchango wao kwenye music
   
 16. K

  Kalila JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanatishaa mbaya promo za kufa mtu na leo kuanzia saa mbili usiku sugu atakuwa live
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  du arusha lini...
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  lete ya kwako mama..
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  i will b there too,anti virus with no apology.
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ruge and CO. Aibu kwenu maana mmeshazoea kuwaibia wasanii wa kibongo ambao uwezo wao wa kufikiria ni mdogo.
  Sasa wakati wa kuaibishwa ndio huu
   
Loading...