Tarehe 26/11/11....yoo

Oct 14, 2011
28
5
Itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo...
1.Sugu vs Ruge
2.Vinega vs T.H.T
3.Sayansi vs Leaders
4.Deiwaka ent vs Sweet music
5.Dj Jd vs Dj Zero
6.Business times vs Prime time promotion
7.Wahuni vs wastaarabu
8.Wasanii waliopotea vs wasanii wanaotamba
9.Times fm vs Clouds fm..
Na kiukweli times hawana uwezo mkubwa wa kuupromote muziki kama clouds,kwa kuwa redio yenyewe tu ukifika kibaha tu hapo chenga tofauti na clouds inasikika almost Tz nzima..
Bandugu tukutane Leaders tukaburudike na Dark Money X(DMX) na mtu mzima Fabolous (Losso)..huko ustawi wa jamii kutakuwa fujo na matusi tu..
We be killin em yoo...
 
un..egw.
 
Eti Dj Zero vs Dj JD!! huyo sifuri aliyefundishwa kazi na Majizo! Zero anajua kutumia turn table? Atakimbilia kwenye zile zile American Kit! Sifuri kabisa!
 
itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo...
1.sugu vs ruge
2.vinega vs t.h.t
3.sayansi vs leaders
4.deiwaka ent vs sweet music
5.dj jd vs dj zero
6.business times vs prime time promotion
7.wahuni vs wastaarabu
8.wasanii waliopotea vs wasanii wanaotamba
9.times fm vs clouds fm..
Na kiukweli times hawana uwezo mkubwa wa kuupromote muziki kama clouds,kwa kuwa redio yenyewe tu ukifika kibaha tu hapo chenga tofauti na clouds inasikika almost tz nzima..
Bandugu tukutane leaders tukaburudike na dark money x(dmx) na mtu mzima fabolous (losso)..huko ustawi wa jamii kutakuwa fujo na matusi tu..
We be killin em yoo...

kiazi wewe....................
 
Eti Dj Zero vs Dj JD!! huyo sifuri aliyefundishwa kazi na Majizo! Zero anajua kutumia turn table? Atakimbilia kwenye zile zile American Kit! Sifuri kabisa!

Dj jD ni old fashion ..Zero ni new generation..Kwa bahati nzuri nmehudhuria show nyingi Jd (club) na redion nimemsikilza sana Yan umlete sas hv umshndanshe na Zero?lzma atapotea huyu jamaa anaturushaga sana maisha club na hapo XXL ndo ucpme yoo..
 
Hata DMX ni old fashion yoo!
 
Siwezi kwenda kuwasikiliza wabana pua, wapaka poda, wapaka karolite. Pia hao vinega ni wahuni watupu.
 
unashobokea michongo ya mwanaume mwenzako????
hakuna sweet music ww acha ushamba, ni str8 Music, we umekuja mjini jana nn?
DMX anaimba kiingereza na kuwatukana bado mnaenda kumshangilia kwa malipo ya bei mbaya huo si ulimbukeni?
 
Dj jD ni old fashion ..Zero ni new generation..Kwa bahati nzuri nmehudhuria show nyingi Jd (club) na redion nimemsikilza sana Yan umlete sas hv umshndanshe na Zero?lzma atapotea huyu jamaa anaturushaga sana maisha club na
hapo XXL ndo ucpme yoo..

ama kweli wewe kilaza?
unauliza thamani ya zidane na lunyamila???
zero ana kipi cha kutuduwaza kwenye music?
Dj anatumia new mark machine naye unasema dj????
uliza bongo since 1998 up to now hakuna zaidi ya JD, dj pekee aliweza kutoana jasho na wakali wengine wa east africa..
zero ana knowledge gani??
 
Dj jD ni old fashion ..Zero ni new generation..Kwa bahati nzuri nmehudhuria show nyingi Jd (club) na redion nimemsikilza sana Yan umlete sas hv umshndanshe na Zero?lzma atapotea huyu jamaa anaturushaga sana maisha club na hapo XXL ndo ucpme yoo..

XXL ndio nini ?
we unadhani u dj ni kuplay nyimbo tu km kwenye window media player?
nipe cv ya huyo dj zero kwanza
 
Me ntakuepo, 2meshakodi costa wt machz wa kitaa,duh vinega 4 lyf waambie na wenzio camp ye2 2ko 36
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom