Wakubwa shikamoon,wadogo habari zenu.

Karibu sana Govanor! Bt nikutahadharishe, hapa kuna mijitu itakuchokonoa kwa koment na thread za kishetani na maudhi sana mpaka unaweza ukapata 'Ze Ban' ya maisha!...haya mwanakwetu karibu ingawa inaonesha unakau wenyeji hapa kunyumba!
 
Marhaba kijana.
Msalimie sana mama yako, mwambie umefika kijiwe kinachowakilisha jamii.
Mwambie ni zaidi ya bunge.
Usisahau kumpa habari zote njema uzionazo humu
 
asante sana..kumbe kuna watu wachokozi sana humu mkuu?
 
Marhaba kijana.
Msalimie sana mama yako, mwambie umefika kijiwe kinachowakilisha jamii.
Mwambie ni zaidi ya bunge.
Usisahau kumpa habari zote njema uzionazo humu

athantee babkey,kwani we ni dini gani vile?
 
Karibu sana Govanor! Bt nikutahadharishe, hapa kuna mijitu itakuchokonoa kwa koment na thread za kishetani na maudhi sana mpaka unaweza ukapata 'Ze Ban' ya maisha!...haya mwanakwetu karibu ingawa inaonesha unakau wenyeji hapa kunyumba!

acha kumtisha mwenzio!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom