Kama unamjua mwenye kadi hii nijulishe nimpe kadi yake nimeiokota kwenye basi la kutoka Tabora

Teacher1

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
333
149
View attachment 39306

Kama unamjua mwenye kadi hii tuwasiliane nimeiokota katika moja ya mabasi yatokayo Tabora
 

Attachments

  • DSC01855.JPG
    DSC01855.JPG
    25.7 KB · Views: 198
Hizo ni zile kadi ambazo watu wanapewa shs 10,000 kisha wanakabidhiwa kadi kama wanachama wapya kwenye mikutano ya hadhara. Jamaa kala kakumi kake kisha kadi kaitupa usihangaike nayo mkuu
 
Hii kadi inaheshima yake ni ya chama tawala siwezi kuichoma namtaka mwenyewe au ninyi hamuoni umuhimu wa kadi hii?
 
Hiyo kadi ni nuksi sana,
Alieitupa mwenyewe anajua ubaya wa kua nayo, itakua wewe ulieiokota?
Kwakua kule kwenu mkaa mnawashia kibiritisi na makaratasi, ongezea na hiyo kadi utawaka haraka!!
 
Hiyo itakua ya yule member mwenye mdomo mrefu kama ndege flan ivi aka r****o, alipoteza akitokea igunga
 
choma moto,majivu yafunge kwenye kitambaa cheusi katupe katikati ya bahari na uhakikishe imeliwa na papa dume mara baada ya kuitupa
 
Back
Top Bottom