picha za vinega zinaongea bila hata maneno yoo part 2

Oct 14, 2011
28
5
Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...
 

Attachments

  • sela hiloo.jpg
    sela hiloo.jpg
    43.3 KB · Views: 269
Huyu ni Afande sele msaliti wa vinega....picha hii dj fetty alikuwa anaitupia madongo sana hata ukienda kwenmye facebook(kama hajaifuta) yake kuna hii pichja kaipondea mbaya....

Wewe ni mpenzi wake na Afande Sele?
 
Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...

Sasa kama miaka yote mmekuwa mkiwaabia unategemea huo 'usafi' utatokea wapi? Hii ilikuwa ni njia mojawapo ya kuwaonyesha mashabiki wao kuwa kwasababu ya mfumo nyonyezi unaoendekezwa na watu kama Ruuugeeee (aka 'snitch') hawa jamaa ndio maana wako hivyo.

Nyie mbaki na hao 'wasafi' wenu sisi tutaendelea kuburudika na hawahawa mnaowaita 'wachafu'.
 
Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo

Atakuaje msafi kwa malipo madogo.think well
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom