Afande Sele ndani ya STR8 music yoo..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Sele ndani ya STR8 music yoo.....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Bandika Bandua, Nov 23, 2011.

 1. B

  Bandika Bandua Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  King of rhymes,king of all the times,the legendary himself,Darubini hitmaker baba Tunda Afande sele baada ya kumkacha Sugu atakuwepo jumamosi mtu mzima ndani ya str8 music atajumuika yeye na majembe longtime kitambo GWM,MANZESE CREW,LWP,KIKOSI CHA MIZINGA,famous Jay more,more technics,more rhymes na Juma sir kiroboto Natureee...njooni tupakue ugali wa Kiroboto na tutatue utata unaomchanganya Jay more wa mvua na jua,,na majembe from NY DMX & FABOLOUS!...Kwenye MIC Adam mchomvu+Dj fetty+B.dozen B.year B.twelve B.twangala B.twiz...on the one&two Dj Zero...We right here and We be killing em yoo...
   
 2. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Bora nika lalle kuliko kuangalia show ya mashoga coz kuwa sapoti ni kukufulu mi naenda zangu kwa vinega kuwaangalia wanaume wa kazi magenge na wengine.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hao clouds ni wanafiki walikua hawapigi nyimbo zake kisa kagombana na fetty,sasa wameona bora wambembeleze ili asiende kwa sugu(kumbuka sugu ndo kamtoa afande sele) wanafanya hiv kupandikiza chuki ili sugu achukiane na afande sele,wakishamtumia wanamwaga,afande clouds co watu hao nenda kwa sugu;;;;;Hapa sielewi mbona sugu anasema kwamba Manzese crew na lwp watakua kwake,sasa mbona imebadilika?
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ruge akishamnywesha asije akajikojolea
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kuliko niende kwenye show ya wafu fm, machoko, bora nilale! Nina ushahidi mzito kuwa adam mchomvu wanamla boga! Anayetaka ushahidi ani-pm!
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ya kweli hayo
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  bongo wakikuchukia wanakusingizia mshoga...ndo tulichobaki nacho watu weusi!
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Lisemwalo lipo. sema tu mashoga hawajitangazi hapa bongo.ila tunawajua wengi tu! Na wengi huwa wanatuomba tukawafanye. Sema sisi wala! Kila wakitunusa Holla!
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Afande sele ndio mnyama gani?
   
 10. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  msanii mmoja wa bange bange, akipiga tungi juu yak,e kazi kuzivua na kujikojolea.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Afande sele hana jipya. Ameshapotea kwenye game..

  Huwa nina aleji na show za Afande.
   
 12. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Amechemka sana,atuta suport nyimbo zake,yy si ndio analalamika huwa anaibiwa!so anaenda kusuport kuibiwa kweli kali
   
 13. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  afande ni kama Big G wakisha tafuna wanatema.
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nani akawaangalie wanaume kama mabinti? Hao clouds wote ni machoko na hawana maana.. Kaz yao hao kina mchomvu, b 12, kibonde n.k. Kaz yao ni kujipendekeza kwa wanaume ili wapapaswe masaburi
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
   
 16. K

  Kalila JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale ni wazushi tu hata mbeya walisema wataleta wasanii wa uganda lakini hawakuja hata dmx ratiba yake haionyeshi kuwa anashoo tz ni magumashi wale naskia wasanii watakaoimba wameongezewa dau kubwa kwa mara ya kwanza ila wameahidi wakimaliza shoo wanakuja ustawi na wanamshukuru sana sugu. Na pia pesa ya kiingilio watagawana wasanii wote watakaoimba kwenye shoo pasu kwa pasu hii ni kwa mara ya kwanza hawa ndo vinega
   
 17. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mnahaha! Vinega hawana shida na wanafki. Jmosi kinanuka kama kawa. Inakula kwenu..28-58 Over
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kweli mwita maranya kuna kamchezo kachafu ka clouds bora sugu nae aanzishe redio yake deiwaka fm
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Clouds nyie ni wazushi, hata Adili wa Chapakazi mlimzushia kuwqa amejitoa vinega.
   
 20. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama hujamuelewa huyu jamaa basi wewe unahitaji maombi, Gangwe mob waliacha kusikika miaka mingi sana leo hii wanaitwa wanaenda kulamba matapishi , Walikuwa na Vinega wa antivirus kwenye kikao cha kuandaa show ya Antivirus tar 26 ila nashangaa kusikia wameenda kule,

  Wao wana pesa na wasanii wa tz wananjaa sana, ila haina maisha marefu, Manzese crew walizikwa ...... kisa wameonekana na vinega wa antivirus basi wamechukuliwa na kwenda kule haina noma ila wataenda na kurudi vinega tuko pale pale.
   
Loading...