Recent content by Bambwene

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dr Mwakyembe na kashfa ya misaada Kyela

    Kyela hakuna bank ya NBC
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chagua usafiri kabla ya 2015

    Kitalolo Umeitengeneza siku yangu huku Ughaibuni. Kwakweli hiyo nimeipenda
  3. B

    JamiiForums Tanzania Picha ya leo, nani wa kwanza kukate keki hii?

    Mkuu kwani ni wapi huko! Kama ni China basi iligombaniwa lakini kama ni Bongo alikula mtayarishaji peke yake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    Mheshimiwa napenda kukutia moyo juu ya wanaokushambulia ni kawaida kwa mti wenye matumda kupigwa mawe hivyo wewe songa mbele mawe yakiisha watatulia
  5. B

    JamiiForums Tanzania A=z a reality [ndoa ndoano]

    Wewe sio mtu wa kawaida! Big up mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msimjaribu Zitto, mtaumia!

    zimbaaa!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

    Matola! Hapo umethibitisha kuwa wewe ni great thinker. Hugo ni story ya saloon kufurahisha wasusi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga ubunge Igunga leo

    Majaji nao wameisha anza kusoma alama za nyakati! 2015 sio mbali sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Wakuu kuna hali ya hatari ambayo sijui Magamba wanataka kufanya nini! Nina mdogo wangu ambaye ni FFU Ukonga amepigiwa simu kama masaa mawili yaliyopita kwamba aende kazini haraka kuna dharula alipofika kituoni kambiwa watu 300 mnatakiwa Arusha sasa hivi kwenda kuongeza Nguvu. kwasasa simpati kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kikwete ni 'bingwa wa kupasia mipira'

    pole saaana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tathimini yangu Gamba CCM ni CCM yenyewe kulivua gamba bila kuivunja CCM ni usanii

    Ndugu yangu kwa kawaida nyoka akijivua gamba anakuwa na sumu kali kuliko mwanzo, kwa maana hiyo tusitarajie lolote la maana toka ccm baada ya kujivua gamba zaidi sana wataishia kubadilisha mbinu za kuiba. BILA KATIBA MPYA HATA WAKIJIVUA MENO BADO WATAIBA TU.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wa CCM: Msimpotoshe Rais Kikwete

    Mkuu shukrani kwa uchambuzi wako yakinifu, naomba uchambuzi huu upeleke kwenye makala malumu gazetini kwani nina hakika sio wabunge wote wa ccm wanaoingia humu jamvini hivyo wanaweza wasinufaike na ushauri wako, pia kwa faida ya wananchi walio wengi ambao nao hawana nafasi ya kuingia kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutano wa JK na CHADEMA!

    Jina la kitu ndiyo kitu chenyewe! Kama hapa umedhihilisha kuwa kweli wewe ni kipepeo.
Back
Top Bottom