Kitalolo Umeitengeneza siku yangu huku Ughaibuni. Kwakweli hiyo nimeipenda
hahaha, hapo umesema kweli, unaweza kuona gari zurii kwa nje, lakini injini mbovu na haifiki mbali imeshachemka...lakini mengine ni mabovu ila yanaweza kwenda hadi kijiji cha mbali kwenye vumbi bila hata kuchemsha....tuone injini kwanza aisee, ama la tufanye mpango wa kununua injini kama hatuna uhakika nayo, ile bora zaidi kabla 2015 haijafika.ebu tuone injini
Gonga basi like