Recent content by Balozi Mbumbumbu

  1. Balozi Mbumbumbu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu zangu Tanesco inachukua muda gani kubadilishiwa mita ya LUKU baada ya kupripoti ikiwa mita ya awali imeharibika/imeshindwa kufanya kazi?
  2. Balozi Mbumbumbu

    List ya movies zako pendwa za kivita (war movies)

    Mimi natamani kuijua title ya movie moja makini CIA na nchi moja ya kiasia kama Thailand,Cambodia au Vietnam.Kuna jamaa anataka kuipindua nchi yake kijeshi kumbe mmoja wa rafiki zake wageni toka US ni CIA operative kwa jina la MICHAEL.Mwishoni adui mkuu na staa wanapigana kwenye maji pembeni ya...
  3. Balozi Mbumbumbu

    Fani ya ku-operate mitambo mikubwa inalipa?

    Fork lift unaweza kuisoma chuo cha taifa cha usafirishaji NIT Dar na Chuo cha Bandari Kurasini Dar kuna forklift,front end loader,winch,crane nk.Kwa taarifa zaidi ingia Google visearch vyuo husika hapo juu.
  4. Balozi Mbumbumbu

    Huko kwenu linaitwaje?

    Indolofa
  5. Balozi Mbumbumbu

    Part 2: TISS bado safari ngumu

    Majuzi wakati natizama movie ya SNOWDEN nilisikitika sana niliposikia maneno "SELF TAUGHT na NO HIGH SCHOOL DIPLOMA" wakati wa interview ya kumrecruit awe CIA Analyst. Tunapaswa kujitizama upya kama Taifa.
  6. Balozi Mbumbumbu

    Mabinti wa umri chini ya miaka 20 kumbe ni wasumbufu hivi?

    Mmmmmh basi katiba ya Mabaharia inaongoza kwa ubora dunia nzima kudadadeki.
  7. Balozi Mbumbumbu

    Zitakuja nyakati tutatamani Magufuli arudi hata siku moja madarakani

    Wewe unadhani watoto wa Chacha Wangwe kwa dhati kabisa wanaweza kufurahia kuiona CHADEMA ya Mbowe ikiingia madarakani?
  8. Balozi Mbumbumbu

    Rais Museveni hachoshi kumsikiliza

    Wow!Father of all African Nations tena!Above all Other well known legends like Mwl Nyerere and the likes, are you serious?
  9. Balozi Mbumbumbu

    Heshima kwa Wanaija

    Ha ha ha ....eti" ANAEKIJUWA cha kuombea maji". Maajabu ya mwalimu!
  10. Balozi Mbumbumbu

    Nlimla mke wa jamaa yangu na baadaye nikaenda kula kwake kurudisha nguvu iliyopotea

    Mbona kasema au hukupaona?[emoji23][emoji23][emoji23] Ni pale aliposema***"SPERM ZINAMWAGIKA KUTOKA KWENYE k YAKE"****
  11. Balozi Mbumbumbu

    Polycarp Pengo hajamuandaa askofu Ruwa'ichi alipokuwa seminari. Aliyemuandaa Ruwa'ichi ni padri Cyprian Tirumanywa wa jimbo kuu la Mwanza

    Mbona lawama za kukatwa Eddie 2015 anaangushiwa JK?Kwani CC ya CCM haikuwepo?First rule of leadership inasema "When you are a leader everything is your fault".Hakuna safari ya gari bila dereva na ni dereva anaefikisha watu salama sio gari.
Back
Top Bottom