Heshima kwa Wanaija

Heshima kwa Wanaija

Mnakosea. "Old school slang" unayoijuwa ni "mapopo".

Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.

Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.

Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.

Kama hiyo haitoshi. Hapa upo JF haupo mitaani. Jiweke kwenye "standard" ya kuwa maandiko yako yanasomwa na watu wa aina mbali mbali na usifikiri kuwa na lugha ya mtaani ni ujanja sana.

Huwezi kuongea Kiswahili India wakakufahamu ingawa unaweza kubahatisha mmoja anaekijuwa cha kuombea maji.

Umenikumbusha mwaka 1974 nilikuwa Uingereza na tukapanda bus (Waswahili watatu). Ndani ya bus, jirani na tulipokuwa kulikuwa na bibi mmoja wa Kiingereza na kijibwa chake. Mmoja wetu akasema "tazama huyu bibi kafanana na mbwa wake", yalikuwa si maneno mazuri lakini ndiyo yashamtoka mwenzetu.

Bus lilipofika anaposhuka yule bibi, wakati anashuka akasema "ahsanteni sana, nawatakia safari njema". Kumbe akitusikia yote.
Hahaha hii story yako mbona nshasimuliwa na babu yangu enzi izo,, au na yeye alikuwa mmoja kati ya hao watatu?
 
Mnakosea. "Old school slang" unayoijuwa ni "mapopo".

Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.

Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.

Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.

Kama hiyo haitoshi. Hapa upo JF haupo mitaani. Jiweke kwenye "standard" ya kuwa maandiko yako yanasomwa na watu wa aina mbali mbali na usifikiri kuwa na lugha ya mtaani ni ujanja sana.

Huwezi kuongea Kiswahili India wakakufahamu ingawa unaweza kubahatisha mmoja anaekijuwa cha kuombea maji.

Umenikumbusha mwaka 1974 nilikuwa Uingereza na tukapanda bus (Waswahili watatu). Ndani ya bus, jirani na tulipokuwa kulikuwa na bibi mmoja wa Kiingereza na kijibwa chake. Mmoja wetu akasema "tazama huyu bibi kafanana na mbwa wake", yalikuwa si maneno mazuri lakini ndiyo yashamtoka mwenzetu.

Bus lilipofika anaposhuka yule bibi, wakati anashuka akasema "ahsanteni sana, nawatakia safari njema". Kumbe akitusikia yote.
we bibi ficha ujinga wako wewe hiyo slang ya "naija"ndo inatumika kwa sasa ikimaanisha wanigeria.
 
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".

Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.

Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.

Ulisomea ujinga eenh?
Hajakosea hata kidogo wewe bibi ndio mshamba "wanigeria" hujiita "naijas" kwa lugha ya mtaani lkn sasa wewe usidhani ile "Niger" ndio aliyomaanisha
 
Wanaijeria wanajiita wanaija kutokujua kwako kusionekana ni kutokujua kwa wengine pia
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".

Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.

Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.

Ulisomea ujinga eenh?
 
Hajakosea hata kidogo wewe bibi ndio mshamba "wanigeria" hujiita "naijas" kwa lugha ya mtaani lkn sasa wewe usidhani ile "Niger" ndio aliyomaanisha

Tumsamehe tu, huyo bibi, keshapitwa na wakati!.
Hajui kinachotrend kwa sasa
 
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".

Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.

Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.

Ulisomea ujinga eenh?
Sisi tumeelewa wewe poyoyo endelea kukosoa
 
Mnakosea. "Old school slang" unayoijuwa ni "mapopo".

Na huo utetezi wako ndio unaodhihirisha viwango vya shule.

Utaitajaje nchi nyengine kumaanisha raia wa nchi nyengine? Fikiri.

Si kila ulisikialo mitaani lina maana, mwengine ni ujinga tu.

Kama hiyo haitoshi. Hapa upo JF haupo mitaani. Jiweke kwenye "standard" ya kuwa maandiko yako yanasomwa na watu wa aina mbali mbali na usifikiri kuwa na lugha ya mtaani ni ujanja sana.

Huwezi kuongea Kiswahili India wakakufahamu ingawa unaweza kubahatisha mmoja anaekijuwa cha kuombea maji.

Umenikumbusha mwaka 1974 nilikuwa Uingereza na tukapanda bus (Waswahili watatu). Ndani ya bus, jirani na tulipokuwa kulikuwa na bibi mmoja wa Kiingereza na kijibwa chake. Mmoja wetu akasema "tazama huyu bibi kafanana na mbwa wake", yalikuwa si maneno mazuri lakini ndiyo yashamtoka mwenzetu.

Bus lilipofika anaposhuka yule bibi, wakati anashuka akasema "ahsanteni sana, nawatakia safari njema". Kumbe akitusikia yote.
Ha ha ha ....eti" ANAEKIJUWA cha kuombea maji".
Maajabu ya mwalimu!
 
Wanigeria wenyewe wanajiita "wanaija" hata siku moja mniger hajiiti mnaija. Hapa umepuyanga Bi foxy
Huyu bibi ana shida sn, kwanza kaja na mahasira mpk hekima imempotea ilimladi aonekane anajua, kalee wajukuu zako bibi
 
"Wanaija" ni Slang inayotumika kitaa kumaanisha Wanaijeria
Labda kwa sababu ya utu uzima wako uko out of touch na lugha hizi

Kaulize mtu yeyote wa kisasa, akueleze watu wanaposema NAIJA wanarefer nchi gani?

Sheikh Nation! Wao pia hawako sahihi, fuata alichokuambia Ukhti wako faiza.
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti.
 
& na mm najua kabisaa mtu akisema naskia mzik wa naija sina shaka kabisaa najua anaskiliza mziki wa Naijeria Astuchanganye na uzee wake apelek huko uzee wake

Haya basi NIGER. jina la kikomandoo 😂😂 na ndio maana afrika iko nyuma kimaendeleo kazi kujipa majina yasiyotuhusu, Huwezi kuta wa-Algeria wanajiita wa-Niger.
 
Huyu bibi ana shida sn, kwanza kaja na mahasira mpk hekima imempotea ilimladi aonekane anajua, kalee wajukuu zako bibi

Tukiweka ushabiki mandazi pembeni faiza kawzidi mbali sana kwa maarifa. Sikatai kila binadamu ana mapungufu yake. Lkn kiukweli huyu mnaemuita bibi FaizaFoxy kawazidi mbali. Sema tu ishazoeleka akimsahihisha mdau humu mnatokwa povu 😁😁 ni hayo tu chief wangu
 
Naija ni kifupisho cha Nigeria sasa hiyo Niger imetoka wapi?

Duh! Mabishano mengine hayana maana,,,Ebu pitia hapa kidogo

Nigeria (/naɪˈdʒɪəriə/ (listen)), officially the Federal Republic of Nigeria, is a country in West Africa, bordering Niger in the north, Chad in the northeast, Cameroon in the east, and Benin in the west. Its coast in the south is located on the Gulf of Guinea in the Atlantic Ocean. The federation comprises 36 states and 1 Federal Capital Territory, where the capital, Abuja, is located. The constitution defines Nigeria as a democratic secular state.[6]

Sio ukickiacho na wewe ukifuate other wise utaonrkana mjinga.
 
Hilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?

Si kila ujinga wa kuiga. Nyie ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio mkaiga mkiona ni fashion kumbe wenzenu walikuwa wanatangaza chupi za mashoga.

Umepuyanga ila unaona noma kukubali, watu wazima tunaelewa mbinu mbadala unazotumia.
 
Tukiweka ushabiki mandazi pembeni faiza kawzidi mbali sana kwa maarifa. Sikatai kila binadamu ana mapungufu yake. Lkn kiukweli huyu mnaemuita bibi FaizaFoxy kawazidi mbali. Sema tu ishazoeleka akimsahihisha mdau humu mnatokwa povu 😁😁 ni hayo tu chief wangu

Sijui kama unaelewa kinchoongelewa hapa, tafuta mahala popote useme ni wakina nani wanajiita wa "NAIJA"
 
Duh! Mabishano mengine hayana maana,,,Ebu pitia hapa kidogo

Nigeria (/naɪˈdʒɪəriə/ (listen)), officially the Federal Republic of Nigeria, is a country in West Africa, bordering Niger in the north, Chad in the northeast, Cameroon in the east, and Benin in the west. Its coast in the south is located on the Gulf of Guinea in the Atlantic Ocean. The federation comprises 36 states and 1 Federal Capital Territory, where the capital, Abuja, is located. The constitution defines Nigeria as a democratic secular state.[6]

Sio ukickiacho na wewe ukifuate other wise utaonrkana mjinga.

Nenda tena google ulete mrejesho wa "Naija" linawakilisha watu gani. Nitasubiri
 
Kwani kinachoongelewa ni nchi ya Niger au Naija? Upo Sawa lakini maana naona mind yako ishachanganya mafile relax kwanza maybe utajua kinachokusumbua.

Mkuu,
Niger=Naija na itabakia kuwa nchi
Nigeria=Naijeria na itabakia kuwa nchi.

Waswahili 2nakwama wapi lakini? Hata Niger na Nigeria tu tunashindwa kuzitofautisha!!!

Ebu bwana musimfanye trump aendelee kuwaita Shit hole ni aibu sana jamani
 
Back
Top Bottom