mzizimkuu1
Senior Member
- Apr 18, 2018
- 135
- 106
Mke hajajifunza kutoka kwa comrade Mugabe?Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..