Recent content by Balokola

  1. Balokola

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Mimi pia nafuga ninao Saso 100 now Naweza sema wanahutaji full time care
  2. Balokola

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Ni milion 2 sio laki 2
  3. Balokola

    JamiiForums Tanzania Maajabu haya ya Pasaka hii yamenitokea peke yangu au?

    Nilijua tuh mnapotaka kuelekea,yaani siasa Hadi kwenye msosi duuuh,fanyeni kazi vijana acheni ujinga
  4. Balokola

    JamiiForums Tanzania Maajabu haya ya Pasaka hii yamenitokea peke yangu au?

    Pika kwako tuje na utuandalie wakutunawisha uonyeshe mfano
  5. Balokola

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Tujiongeze,tusizoee kuuza raw materials kwa viwanda vya wenzetu,tuuze products,pia hakuta kua na njaa kamwe
  6. Balokola

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ukitaka kuwa mtumwa wa wazungu fuata kila wanachosema wakati wao hawafanyi...jamaa yao anatoa siri zao wa weak leaks wanamtafuta daily atoke kwenye embassy ya Ecuador
  7. Balokola

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Weak leaks founders yupo kwenye Ecuadorian embassy’s uingereza,aje bongo huyo raia wao na sisi tumpe hifadhi kwani dawa ya moto ni moto
  8. Balokola

    JamiiForums Tanzania Hii ni Kukabwa na wachawi au ni psychological perception?

    Ulilala vibaya,km sio mto ulioweka shingoni basi shingo ilikaa vbya ukakosa kupumua vzr,ndio maana uliposhtuka tu ukaeweza kupumua vzr,ndoto mbaya huja pale circulation ya damu au hewa inapopungua,ubongo hukuletea ndoto ushtuke ili ulale vzr
  9. Balokola

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi kutoka DRC wafariki katika Ziwa Albert wakikimbilia nchini Uganda

    Mungu awasaidie..daah niliona Aljazeera mambo yanayo endelea kongo ni majanga..treni mbovu watu mpka wanakaliana na ina safiri mda wa siku nane toka kinshasa mpka lubumbashi. ...usalama wa watu ni mdogo mapori mengi,barabara ya lami kwao bado ni msamiati..yaani daah.. Afrika weee Mungu atusaidie tu
  10. Balokola

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Babu Seya na Papii Kocha waibuka Bungeni; Mbunge alaani kuachiwa kwao

    Mbona Lowassa aliahidi kuwatoa kama kampeni za uraisi bana...sasa nani aliwatangaza kama sio lowassa
  11. Balokola

    JamiiForums Tanzania Majirani zetu Kenya naona Rais wao anahutubia taifa mwisho wa mwaka na kutoa tumaini na hamasa kwa Wakenya

    Sa akishasema lolote ndio maisha yako yatabadilika?,we fanya yako ukitaka comfort tafuta kwa wazazi wako..ukikosa kwa machz wako...ukiona kila kitu unategema rais akufanyie nenda kenya akakufanyie baadae upime aliyokufanyia kule na huku wapi raha
  12. Balokola

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Let it shine
  13. Balokola

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ------------------------
  14. Balokola

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

    Wa israel na waarabu wamelala mda huu...hata hawana habari kua watanzania wako wanabishama kwaajr yao...Kuleni bata jamani..mkikosa kazi mkalale..jamaaa hata hawawajui..msije kupigana bure......Karibuni Dodoma mji mkuu wetu tuyajenge
Back
Top Bottom