Hii ni Kukabwa na wachawi au ni psychological perception?

Hii ni Kukabwa na wachawi au ni psychological perception?

SamuraiJack

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
462
Reaction score
740
Habari za asubuhi wadau?

Naombeni kusaidiwa jambo, kuna nyumba nimehamia takribani week sasa. Usiku wa kuamkia jana nikiwa ndotoni nilihisi uzito mkubwa mithili ya kitu kinanikandamiza sana na nilikuwa najaribu kuinuka au kugeuka huku nakemea (nikiwa ndotoni) lakini nikawa nashindwa kuamka, baadae nikashtuka usingizini kujiangalia vizuri nipo vilevile ikabidi nitoke kitandani nikapiga goti na kupiga maombi na kurudi kitandani, cha ajabu baada ya kama nusu saa nikasikia bundi analia nje kwa takribani dakika 5, hii hali ikanipelekea kuwa macho kwa muda mrefu?

Je wataalamu hapa ni kwamba wadau walikuja kunikaba au ni psychological perception tu?
Anayeweza kumtag mshana jr anisaidie kwa hilo.
 
Habari za asubuhi wadau?
Naombeni kusaidiwa jambo, kuna nyumba nimehamia takribani week sasa. Usiku wa kuamkia jana nikiwa ndotoni nilihisi uzito mkubwa mithili ya kitu kinanikandamiza sana na nilikuwa najaribu kuinuka au kugeuka huku nakemea (nikiwa ndotoni) lakini nikawa nashindwa kuamka, baadae nikashtuka usingizini kujiangalia vizuri nipo vilevile ikabidi nitoke kitandani nikapiga goti na kupiga maombi na kurudi kitandani, cha ajabu baada ya kama nusu saa nikasikia bundi analia nje kwa takribani dakika 5, hii hali ikanipelekea kuwa macho kwa muda mrefu? Je wataalamu hapa ni kwamba wadau walinipitia au ni psychological perception tu?
Anayeweza kumtag Mshana Jr anisaidie kwa hilo.
Acha imani za kishirikina, mshana jr njoo huku kuna mtu anataka kukupa ridhiki
 
Tayari ndugu zake na flani wamekutoa marinda.
 
Habari za asubuhi wadau?
Naombeni kusaidiwa jambo, kuna nyumba nimehamia takribani week sasa. Usiku wa kuamkia jana nikiwa ndotoni nilihisi uzito mkubwa mithili ya kitu kinanikandamiza sana na nilikuwa najaribu kuinuka au kugeuka huku nakemea (nikiwa ndotoni) lakini nikawa nashindwa kuamka, baadae nikashtuka usingizini kujiangalia vizuri nipo vilevile ikabidi nitoke kitandani nikapiga goti na kupiga maombi na kurudi kitandani, cha ajabu baada ya kama nusu saa nikasikia bundi analia nje kwa takribani dakika 5, hii hali ikanipelekea kuwa macho kwa muda mrefu? Je wataalamu hapa ni kwamba wadau walikuja kunikaba au ni psychological perception tu?
Anayeweza kumtag Mshana Jr anisaidie kwa hilo.
Anakuja Mg'oa kucha.
 
Ulilala vibaya,km sio mto ulioweka shingoni basi shingo ilikaa vbya ukakosa kupumua vzr,ndio maana uliposhtuka tu ukaeweza kupumua vzr,ndoto mbaya huja pale circulation ya damu au hewa inapopungua,ubongo hukuletea ndoto ushtuke ili ulale vzr
 
Inawezekana unachosema ni kweli
 
Kama umepanga sehemu ambayo mwenye nyumba anakaa hapo hapo nakushauri uhame tu, Binafsi nmewahi kupanga sehemu nyingi hadi sasa ila ilipokua nikipanga sehemu nayoishi na mama mwenye nyumba kuna visa vilikua vinantokea usiku
 
Hivi mng'oa kucha ndo nani? naona ana trend sana humu naomba kufahamishwa!
Ni jamaa mmoja hivi matata sana. Kuna hakimu mmoja yy alikuwa hatendi haki. Kwahiyo alimuambia ajiudhuru haraka asipofanya hivyo mwezi huu utakuwa wa mwisho wake. Anayemfahamu amfikishie salamu. Hakimu yule alikufa ktk mazingira ya ajabu sana, sijui walimuua au walimchukua msukule mm sijui. Karma is a bitch
 
duh basi jamaa in hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom