Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Sa ajabu ipi kina Musa na Daudi na Yusuf na Yesu wakiwa waislam? Mbona hujibu swali Musa, Daudi, Yusuf na Yesu wapi walisema wao ni wakristo?
Musa, Daudi, Yusuf na Yesu hawawezi kuwa Waislamu maana Uislamu umekuja miaka mia sita baada ya Yesu kuja duniani. Musa, Daudi na Yusufu siyo Wakristo maana Ukristo umeletwa na Yesu Kristo wakati huo Musa, Daudi na Yusufu wakiwa wameshapita miaka mingi sana wakati huo. Pia Yesu siyo Mkristo bali yeye ndo Kristo, hivyo wafuasi wa Kristo ndo wanaitwa Wa-Kristo.
 
Musa, Daudi, Yusuf na Yesu hawawezi kuwa Waislamu maana Uislamu umekuja miaka mia sita baada ya Yesu kuja duniani. Musa, Daudi na Yusufu siyo Wakristo maana Ukristo umeletwa na Yesu Kristo wakati huo Musa, Daudi na Yusufu wakiwa wameshapita miaka mingi sana wakati huo. Pia Yesu siyo Mkristo bali yeye ndo Kristo, hivyo wafuasi wa Kristo ndo wanaitwa Wa-Kristo.
nipe andiko Yesu kasema UKRISTO ni dini au Imani aliofundisha
au andiko lolote linalosema Wanafunzi wa yesu walijiita WAKRISTO km wewe na Gwajima na mimi nikabatizwe leo leo.

Usiniletee Andiko la Paulo manake paulo hakuwahi kukutana na Yesu wala wanafunzi wake.
paulo alidai kaota kitu ambacho hata wewe unaweza kudai. hata Gwajima pia alishadai kaoteshwa na Yesu kuwa Miskiti yote itakuwa sunday school
 
nipe andiko Yesu kasema UKRISTO ni dini au Imani aliofundisha
au andiko lolote linalosema Wanafunzi wa yesu walijiita WAKRISTO km wewe na Gwajima na mimi nikabatizwe leo leo.

Usiniletee Andiko la Paulo manake paulo hakuwahi kukutana na Yesu wala wanafunzi wake.
paulo alidai kaota kitu ambacho hata wewe unaweza kudai. hata Gwajima pia alishadai kaoteshwa na Yesu kuwa Miskiti yote itakuwa sunday school

Mathayo 28:19-20 "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatufu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi."

Utahukumiwa kwa kutokuamini KWAKO.
 
wee kafir mlaaniwa unachonga sana muhammad alisha gonga akaja na hii singo View attachment 659941

mshirikina ni huyu alie ikaza mpaka maiti View attachment 659942 na kufundisha wafuasi wake wawale mivutu watoto
2397337b7a7e249935a3a3be80b64ae0.jpg
alaaniwe kafir mudi na watu wote waseme Amen!


Wacha kumpakazia Yesu, hakuna mahali Yesu alisema maneno ya yohana 1;1

GONGA HAPO CHINI ; UTAYAONA MANENO YOTE ALIYOYASEMA YESU YAMEANDIKWA KWA WINO MWEKUNDU

Johns gospel - Jesus words in red
 
Mathayo 28:19-20 "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatufu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi."

Utahukumiwa kwa kutokuamini KWAKO.


YESU ALITUMWA KWA WANA WA ISRAELI TU

Hapa juu mmekwisha soma tayari kwamba Yesu hakuwa Mungu wala mwana wa Mungu bali alikuwa Mtume wa Mungu tu.

Yeye hakupewa ujumbe wa utume kwa ajili ya watu wote wa kabila zote. Bali yeye alikuwa Mtume kwa ajili ya wana wa Israeli tu.

Mwenyewe alijua mipaka ya utume wake. Kwahiyo alisema:

1. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:24).

2. Wakati mwanamke mmoja asiyekuwa mwana wa Israeli alipokuja kwa Yesu Kristo kuomba baraka zake, Yesu akakataa na zaidi ya kukataa aliwatusi wasiokuwa Waisraeli. “Akasema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia m’mbwa.” (Mathayo 15:26, Marko 7:27).

3. Hao thenashara (kumi na mbili) Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, 28 wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 10:5-6).

4. Baadhi ya Wakristo wanadhani kwamba wakati Waisraeli wote wamefikishiwa ujumbe, kisha makabila mengine pia yahubiriwe. Lakini dhana hii si sahihi bali ni kinyume cha mafundisho ya Bwana Yesu. Yeye amesema kwamba: “Lakini watakapo wafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawambia, hamtaimaliza miji ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu. (Mathayo 10:23).

5. Bwana Petro mwanafunzi wa Yesu Kristo aliwahubiri wasiokuwa Waisraeli. Wanafunzi wengine, baada ya kupata habari hii walimpinga Bwana Petro kwa kosa lake. Biblia inasema kwamba: “Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao. “ (Matendo 11:1-3).

6. Aya za Biblia zifuatazo zinaeleza kwamba Bwana Yesu alikuwa mfalme na mtawala wa Mayahudi. (Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49.

7. Bwana Paulo ambaye ni mpinzani na mhalifu (anti Christ) wa Bwana Yesu, baada ya kuchukia alianza mahubiri nje ya Wasiraeli. Biblia inasema kwamba: “Hata Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na bila neno, aliwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo walipopingana naye na kumtukana Mungu,akakung'uta mavazi yake, akawaambia, damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu, mimi ni safi; tangu sasa ninakwenda kwa watu wa mataifa. (Matendo 18:5-6).

Baadhi ya Wakristo wanayo shauku ya kugonganisha aya za Biblia. wanasema kwamba Bwana Yesu aliagiza kwamba “Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi.” (Mathayo 28:19).

1. Najibu kwamba aya hii inapinga maagizo yote ya Bwana Yesu yaliyotajwa juu. Kwahiyo haiwezi kuwa agizo la Yesu wala aya ya Injili.

2. Ya pili aya hii imeandikwa mwishoni mwa Injili ya Mathayo, na nitathibitisha baadaye kidogo kwamba aya za mwanzo na za mwisho za kila kitabu ni za kuongezwa baadaye. Aya zile siyo aya sahihi za Biblia.

3. Ya tatu katika aya 28:19 ya Mathayo neno mataifa limetumika kwa maana ya mataifa ya Israeli.

Kama Biblia inavyosema kwamba: “Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu. (Luka 2:1).

Kaisari Augusto alikuwa mtawala wa Roma tu. Hakuwa na mamlaka yoyote nje ya nchi yake juu ya ulimwengu.

Katika aya hii amri iliyotolewa kwa ajili ya ulimwengu na ya nchi ya Roma tu iliyokuwa chini ya utawala wa Kaisari wala siyo ulimwengu wote.

Hivyo ndivyo inavyoeleweka kauli ya Bwana Yesu aliposema: “Enendeni mkawafanye mataifa yote (ya Waisraeli) kuwa wanafunzi. (Mathayo 28:19)
 
Usimlinganishe allah .View attachment 659917 ambaye hana uwezo hadi anaomba dua mbaya kwa Mungu awaangamize Wakristo na wayahudi View attachment 659918 angekuwa ana uwezo asinge bakia Mkristo au Myahudi Na Mwenyezi Mungu Ambaye Analo Taka huwa na Hana Mc kafir adiosa anajiajiri mwenyewe kidole juu, kasauti kadogo mimi ni msemaji wa Mwenyezi kwamba Mungu hawezi, hawezi, hana uwezo wa kuwa binadamu...hawezi laanatulahi wewe kila unapo ingia na kutoka na ulifanyalo iwe laana tu hata huyo mudi aliwapa darja Wakristo kwamba ni Wasomi na Wacha Mungu View attachment 659940 sasa tukusikilize wee muma mlenda jolwa adiosa


science-from-the-bible-among-the-birds-that-shall-not-6054255.png
 
Jerusalem was there thousands of years before King David.Before it was named Jerusalem it was known as SALEM. Infact during Abraham's times there were already Kings and Priests in Salem, one of the Kings was Abimelech and the other was Melchizedek The high Priest ( Wahebrania :7)
 
Ukweli mtupu, ila waislamu watakwambia ibrahimu na adam na Yakobo au israel walikuwa waislamu,

Wakati uislamu imekuja juzi tu, yaan hiv vituko,

Muhamad kaja na uislamu na sala zake 5, kabla hakuna mabaki wala ushahid kuwa paliwahi kuwepo dini ya uislamu,

Naweza kusema ubudha una umri mkubwa kuliko uislamu
Aiseee hapa umefikiria nje ya box Mkuu sikuwah kongole yako
 
Lete ushahidi kuwa waisrael wa leo ni vizazi halisi vya Yakobo!

Tunajua vizazi vya Yakobo ni wana kumi na wawili, Je Waisrael wa leo ni kabila gani katika zile 12 za wana wa Israel?, lete ushahidi
Kwa akili ya kawaida tu....unategemea kwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita unaweza kuwajua waisrael kwa makabila yao?hata kama wasingechukuliwa utumwani....wangekaa sehemu moja kwa kila kabila na eneo lake. ..je baada ya miaka zaidi ya 2000 ungeweza kuwatofautisha kwa makabila yao?hii ni sababu ya kitoto sana!
 
Dogo wacheni kelele Masjid AL Quds ulijengwa na Malaika na badae Mwenyezi Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim ahame kutoka Iraq kwenda ardhi ya Kinaani na ardhi ya Kinaani ni ardhi ya kiarabu ambao ni wa Palastna. Mke wa Nabii Ibrahim alipokufa Sara. Nabii Ibrahim ilibidi anune ardhi ya kumzika mke wake. Kuhama kwa Nabii Ibrahim kutoka Iraq kunaonyesha wazi kabisa si kila anaye hama akienda kwingine anapewa haki ya kuwa mwenyeji wa pale. Kila Ardhi au nchi inawatu wake. Ingekuwa vile basi Nabii Ibrahim asinge nunua ardhi ya kumzika mke wake Sara, kasomeni history mjue kwanza sio mnapurukuta tu na kuongea kama walevi. Nabia Suleiman alikuja ujenga msikiti baada ya kuwa umebolewa kama alivyo ujenga Nabii Ibrahim bada ya Malaika wa Mungu kujenga na kubomolewa. Lazima mfahamu wazi Qibla ya kwanza ya waislam ilikuwa pale Jeruselam ambayo tunaita Al Qudis.Msilete za kuleta hapa eti wamasai warudi Ethopia na Wagoni warudi South Africa. Wapeni bas Warabu Zanzbar kama ni vile
Leta udhibitisho kwamba mji huu ulijengwa na malaika!walitumia mawe....maji...chokaa. ...miti nk kama tunavyojenga sisi ?nini kilifanya mudi abadili kibla?unadhani vitabu vyenu hatusomi?alibadili kibla baada ya kuona wayahudi hawamuungi mkono....alidhani kwa kuelekeza kichwa Jerusalem basi wayahudi watamkubali kama mtume! Kwa hasira akageuzia kichwa Mecca &matako yake Jerusalem......unajua maana yake hii?
 
Yani swali la kitoto sana, ungemuliza Nabii Ibrahim nwaka gani alimrishwa na Mungu ahame Iraq mpaa Ardhi ya Kinaan. We jiulize vipi Nabii Ibrahim alienda tu kule bila sababu na nani aliye muambiea ahame kutoka Iraq mpaa Ardhi ya Kinani kama si Malaika wa Mungu.
Jibu swali acha kukwepakwepa kijinga!mnadai dini yenu imekamilika. ....same waliujenga lini?msimamizi wa ujenzi aliitwa malaika nani!mawe ,chokaa nk kama walitumia walitoa wapi?ujenzi wake unatofauti gani na ujenzi wa binadamu ?
 
TOFAUTI YA WAKRISTO NA WAISLAM NI KUWA, WAISLAM WANAWAAMINI MITUME WOTE WALIO TUMWA NA MUNGU MMOJA, NA KWAMBA MITUME WOTE HAO WALIFUNDISHA KITU KIMOJA, KWAMBA "BWANA MUNGU WAKO, NI MUNGU MMOJA, MUABUDU NA WALA USIMFANYIE WASHIRIKA" HIVYO KWA MUJIBU WA UWISLAM WALE WALIO MFUATA IBRAHIM, NUH, MUSSA, DAUD, SELEIMAN, ISSA NA MITUME WENGINE WOTE WALIOTUMWA NA HUYO MUNGU MMOJA WOTE NI WAISLAM NA MAFUNZO YAO NI MAMOJA.

KWA MUJIBU WA UISLAM, SEHEMU TATU TAKATIFU DUNIANI, MAKKAH, MADINA NA YERUSALEM, SEHEMU HIZO ZILISHACHAGULIWA NA MUUMBA KUWA NI TAKATIFU KABLA HATA BINADAM WA KWANZA HAJAUMBWA.

SABABU SEHEMU HIZI MOLA MWENYEWE KAZITOFAUTISHA KWA UTUKUFU NA SEHEM NYINGINE DUNIANI, MWENYEWE MOLA MTUKUFU AKAWEKA SHARTI NA MASHARTI MAHUSUSI KWA WAKAZI NA WANAOINGIA KATIKA MIJI HIYO.
NDIYO UTAONA WATU WALIYO ITWA WAISRAEL WALIPOAHIDIWA MJI HUO WALIPEWA SHARTI MOJA, NALO NI KUSIMAMISHA UFALME WA MUNGU MMOJA NA NEDAPO WATAENDA KINYUME NA HIVYO BASI HAWATAKUWA NA HAKI YA KUKAA KATIKA MJI HUO KAMA AMBAVYO WALIVYOIOTEZA HAKI HIYO WALIOKUWA KABLA YAO. NA KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKO UMELIONESHA VIZURI HILO NAMNA GANI WALIADHIBIWA NA HATIMAYE KUONDOLEWA KATIKA MJI ULE SABABU WALIACHANA NA MAFUNZO UA MUNGU MMOJA.

KWA SASA AMBACHO KINAWATATANISHA WATU NI JE WAYAHUDI WANADAI UHALALI WA KUWEMO MULE SABABU WAO NI WAYAHUDI AU SABABU WAO NI WAFUASI WA MUGNU MMOJA.

TUKISEMA SABABU WAO NI WAYAHUDI INABIDI KUICHAMBUA ZAIDI, WAYAHUDI KWA MAANA YA WAFUASI WA DINI YA KIYAHUDI AU WAYAHUDI KWA MAANA WAO NI KIZAZI CHA YAKUB.

DAI LA WAYAHUDI KWA MAANA YA DINI YAO, HAPAKUWA NA DINI INAYOITWA 'DINI YA WAYAHUDI' KUTOKA KWA MUNGU MMOJA, WALA HAWAKUPEWA AHADI YA KUISHI KWA SABABU WANAFUATA DINI YA 'UYAHUDI' BALI KWA SABABU WAO WATAJISALIMISHA KWA KUFUATA AMRI ZA MUNGU MMOJA, KUJISALIMISHA HUKO NDIKO KUNAKOITWA 'UISLAM' YAANI UMESALIMU AMRI, YAANI UMEJISALIMISHA KWA MUNGU MMOJA.

LAKINI SOTE TUNAJUA HAWAJA JISALIMISHA, NA WALIWAKATAA MITUME WA MUNGU MMOJA NA HATA KUFIKIA KUWAUWA NA KUPANGA MIPANGO NA NJAMA ZA KUWAUWA MITUME HAO. HIVYO WAO WANA MUNGU WAO MWINGINE LAKINI SIYO MUNGU WA IBRAHIM, YAKUB, ISMAIL, ISHAQ, MUSSA, ISSA NA MUHAMMAD KUTAJA KWA UCHACHE. HIVYO HAWANA HAKI YA KUDAI ARIDHI HIYO SABABU SHARTI LA KWANZA NA LA MSINGI LA KUISHI HAPO WAMELIKATAA.

LAKINI BADO TUKISEMA WAO NI WAYAHUDI KWA MAANA YA HIYO DINI YAO YA 'KIYAHUDI' MBONA KUNA WAYAHUDI WAKIGANDA, AMBAO HAWANA DAMU YA YAKOB KUNA WAYAHUDI WA ETHIOPIA HAWANA DAMU YA YAKOB, HATA HAPA TANZANIA WAPO WANAO SEMA WANAFUATA DINI YA KIYAHUDI, JE NA HAWA NAO WAKALILIE UHALALI WA KUKAA KWENYE ARIDHI HIYO SABABU WANAFUATA DINI YA 'UYAHUDI'. LAKINI UTAWALA WA KIZAYAUNI UMEWAKATALIA NA KUWARUDISHA WAYAHUDI WA UGANDA KWAO KWA KUWAAMBIA WAO SI WAYAHUDI, HIVYO HAWANA HAKI HIYO.

NENDA NEY YORK, NENDA CHINA, UINGEREZA NA KWENGINEKO, HATA KWENYE NCHI ZA KIARABU WAPO WAYAHUDI KWA MAANA YA KUFUATA IMANI NA DINI YA 'KIYAHUDI' JE MCHINA AJE KUDAI UHALALI WA KUKAA PALESTINE SABABU YEYE ANAFUATA DINI YA KIYAHUDI? JE MMATUMBI KAMA MIMI NA WEWE KWA SABABU TUNAFUATA DINI YA 'KIYAHUDI' TUENDE TUKADAI UHALALI WA KUISHI PALE, LAKINI WAPO WENZETU WALIO KWENDA KUTOKA UGANDA NA WAKAFUKUZWA, HATA WAETHIOPIA NAO WALIENDA KWA KISINGIZIO HICHO HICHO WAKAFUKUNZWA, KWAMBA WAO SIYO WAYAHUDI.

KWA HIYO UTAONA WAZAYUNI WANAWAFUKUZA WASIO KUWA WAYAHUDI KWA MAANA YA DAMU YA YAKOBU KUTOKUKAA MLE, HIVYO WAO WANAHALALISHA KUISHI KWA MAAN YA DAMU YAO KUWA NI DAMU YA YAKOB NA SIYO KWA MAANA WAO NI WAFUASI WA DINI YA MUNGU MMOJA. LAKINI KIGEZO HICHI WALICHO KILETA HAKIKUWEPO KATIKA MAKUBALIANO YA AWALI WALIPO AHIDIWA KUPEWA ARIDHI HIYO.

HIVYO KWA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA KWAMBA WAO WANAYO DAMU YA YACOB BASI WAKAE, UJUE HAPO WANATUMIA MABAVU, UBABE, NGUVU UNYANYASAJI NA KILA HILA MBAYA SABABU RIDHAA YA KUKAA KULE SI KWASABABU YA DAMU YAO, BALI KWASABABU YA KUFUATA MAAMRISHO YA MUNGU MMOJA NA KUSIMAMISHA UTAWALA WAKE.

LAKINI TUKIANGALIA HICHO KIGEZO CHA PILI CHA DAMU, ' DAMU YA YAKOB' JE NI KWELI WAO WANAYO DAMU YA YAKOB? AU NI UJANJA UJANJA NA UHUNI TU NDIYO WANAO FANYA ... NI SIKUCHOSHE , USINICHOSHE, PITIA HILI BANDIKO HAPA KISHA UTAHUKUMU MWENYEWE ...

salim msangi: TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE.
Hizi pumba umeziandika kwa herufi kubwa!
 
Yesu ameyazungumza hayo kwa wayahudi sio kwako na mimi na bibilia tu zinapachika tu kama mlivo mpachikia umungu. Kwa hio Yesu ni muongo aliposema sikutwa isipokuwa kwa kondoo tu waliopotea wa kiyahudi.
wee akili yako imeliwa na kirusi ebola Nimekuwekea ratiba ya huduma ya Yesu duniani, kwamba anaanzia kwa wana israeli
c9241849ead2fb53e0764c3b60a182dc.jpg
kisha
b3a1e9a8721d4aff0fa6a0887ff02d2c.jpg
sasa kwa uislamu muanzilishi anaeleza
42-surah-ash-shura-the-council-8-728.jpg
na warabu wenye deen lao nao wamewapa za uso
69ce69307c2b9ad150cd46355c15650c.jpg
kipi usicho elewa hapo
 
Wa israel na waarabu wamelala mda huu...hata hawana habari kua watanzania wako wanabishama kwaajr yao...Kuleni bata jamani..mkikosa kazi mkalale..jamaaa hata hawawajui..msije kupigana bure......Karibuni Dodoma mji mkuu wetu tuyajenge
 
wee akili yako imeliwa na kirusi ebola Nimekuwekea ratiba ya huduma ya Yesu duniani, kwamba anaanzia kwa wana israeli View attachment 660758 kisha
b3a1e9a8721d4aff0fa6a0887ff02d2c.jpg
sasa kwa uislamu muanzilishi anaeleza View attachment 660773 na warabu wenye deen lao nao wamewapa za uso
69ce69307c2b9ad150cd46355c15650c.jpg
kipi usicho elewa hapo
Unarudia yale yale bibilia hizo zenu zinamzungumzia Yesu. Wakati walio ziandika hakuna hata mmoja alionana na Yesu. Yani zinaota tu ndio mana hazijui zinaongea nini. Mara Yesu ndio Mungu, mara Yesu ni mtoto wa Mungu, mara Yesu kafa ili dhambi za wakristo zifutwe. Mara Yesu yuko hai hamfahamiki. Nacho fahamu mimi Yesu alitumwa kwa kondoo wa kiyahudi walio potea, we kama kondoo sawa mimi si kondoo😀
 
Back
Top Bottom