Recent content by Ballack-13

  1. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

    Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri. Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
  2. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Nakubaliana na kanuni yako mkuu hizi kanuni zipo nyingi na nzuri kuna nyingine inaitwa 50% 30% 20% asilimia 50 ya kipato chako iwe kwaajili ya matumizi yote uliyonayo 20% savings(akiba) 30% iwe kwenye investments shida inaanzia kwenye nidhamu ya matumizi ya pesa inahitajika akili ya mwendawazimu...
  3. Ballack-13

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women day ok mens day lini?

    Men day itakuwa 19 November 2024
  4. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Ukipata milioni unaila siku tatu, ikibaki elfu kumi unaishi nayo week. Hii kitaalam mnaiitaje?

    Kitalaam inaitwa home team to get atleast one goal
  5. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 ni kama umekwisha, umefanya nini cha maana?

    Mwaka huu ndio nimegundua tofauti ya rangi ya njano na manjano
  6. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Bima ya afya

    Wakuu asanteni kwa ufafanuzi tumepata kitu toka kwenu
  7. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Bima ya afya

    Shukurani mkuu Dr mambo kwa ufanunuzi
  8. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hili la Bima ya afya

    Wakuu habarini za jioni, Naomba kufahamishwa uelewa kuhufu Bima ya NHIF ukishaitumia mara moja mpka ipite siku saba ndio unaweza kuitumia tena kwa matibabu hii imekaaje
  9. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    kusikia kwa kenge mpka atoke damu masikioni Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  10. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Always its better to choose a safe side pressure haipekuki ipo kila sehem sehem yoyote lakini jambo la muhimu ni usalama kwanza wa upande wako
  11. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania Msaada utofauti wa hizi program mbili za science

    Wakuu habari msaada kwenya tuta kuna mdogo wangu namfanyia application za vyuo hii Bachelor of Science in Education na Bachelor of Science with Education tofauti yake ni ipi
  12. Ballack-13

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

    Ukiamua kupanda mahindi yaliyokobolewa shambani kama yataota kapande Chuoni ni sehem yenye vishawishi vingi sna na muda wa kusoma uko limited usikuwa umekomaa akili vya kutosha kuna upande utakuzid nguvu na utajkuta muda wa kusoma hupati unahangaika na mahusiano wenzako wanasoma kusoma Ibada...
  13. Ballack-13

    JamiiForums Tanzania RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

    Mkuu hii link haifunguki
Back
Top Bottom