Hili tatizo ni kubwa hapa nchini, kuna wengi wana vigezo ila hawajui kujieleza. Wewe unatafuta kazi, unaishia kusema tuko vizuri tu, hiyo ndiyo sifa gani? Weka picha za vyeti/ academictranscripts, weka CV, umefanya wapi kazi na kwa nini ulitoka, kama bado hujafanya kazi sema ukweli nk.