Walimu wa masomo ya Sayansi wanapatikana

MEGAMIND2055

Senior Member
Jan 7, 2020
176
100
Hi Guys! Poleni kwa majukumu ya siku, kwa taasisi au yeyote anae itaji waalimu (with outstanding performance and competent in) Physics, Biology, Chemistry and Geography we are competent enough to teach O-LEVEL to A-LEVEL as well as Diploma level.

Mawasiliano +255767936477. We are available 24/7
 
Hi Guys! Poleni kwa majukumu ya siku, kwa taasisi au yeyote anae itaji waalimu (with outstanding performance and competent in) PHYSICS,BIOLOGY ,CHEMISTRY and GEOGRAPHY we are competent enough to teach O-LEVEL to A-LEVEL as well as diploma level .

Mawasiliano +255767936477.... we are available 24/7
Ungeweka na Education Background yako/yenu kwa wale wahitaji waweze kupima ubora wenu.
 
kwa ujumla wote tuna bagroung nzuri katka masomo haya from ordinary to university level and we all have upper second class with B+ and above ktk masomo tajwa
Hili tatizo ni kubwa hapa nchini, kuna wengi wana vigezo ila hawajui kujieleza. Wewe unatafuta kazi, unaishia kusema tuko vizuri tu, hiyo ndiyo sifa gani? Weka picha za vyeti/ academictranscripts, weka CV, umefanya wapi kazi na kwa nini ulitoka, kama bado hujafanya kazi sema ukweli nk.
 
HA

we are fresh graduate but we have enough experience.
 
ahaa swali zuri!
tatizo sio kuwa fresh graduate tatizo ni uwezo (content na uwezo binafsi) kwani aujawai kuona wanao bakizwa vyuoni na kufundisha as tutorial?
 
Write your reply...nan kakwambia gpa kubwa ndo kujua kufundisha acha ufala kaka kufundisha ni kipaj cio gpa

Thank you for reasonable and GOOD question
GPA is one of way to quantify student contents and is not only used in Tanzania but all around the world as Pree -qualification before interview which is final way to examine definite ability of a job seeker,,so vyeti aviwez vika define a person ability bali vinampa nafasi nyingine yakuingia kwenye mchujo (interview/practical test) kuonesha uwezo wake alisi
 
Haya maua seminary huku moshi wanahtaji mwalimu Wa physics A level uzoefu 2 yes

Kama upo njema sema nkupe namba ya rector upambane

Sent using Jamii Forums mobile app

well thank you, je anataka mwalimu mwenye uwezo au anataka mwalimu mwenye experience? kama anataka mwalimu mwenye uwezo and competent ambae atajuta kumpata, na mwenye ufaulu mzuri katika level zote... your all well come
 
Rekebisha Sentensi yako;
Kama anataka mwalimu mwenye uwezo and competent 'ambae atajuta kumpata..' inabadilisha kabisa maana unayokusudia na Inatia mashaka ubora wa Ualimu wako

thank you brother .....and I'm very sorry if it doesn't sound good .. coz i believe we keep learn every day and any one can be teacher to any one else
 
well thank you, je anataka mwalimu mwenye uwezo au anataka mwalimu mwenye experience? kama anataka mwalimu mwenye uwezo and competent ambae atajuta kumpata, na mwenye ufaulu mzuri katika level zote... your all well come
Uwezo na uzoefu vyote ni muhimu huwezi kuniambia unauwezo wakati huna uzoefu

It sound crezy huh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom