Rais Magufuli anasikiliza, anajali anatekeleza! Stendi ya Mwenge kurudishwa, kilikuwa kilio cha wengi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Sana Jf,

Ni jambo la kupendeza kurudishwa stendi ya Mwenge kwani kilikuwa kiungo muhimu sana kwa wasafiri Wa sehemu nyingi. Kituo hiki ni kizuri kwa biashara, kizuri kwa watu kubana matumizi kulipa nauli nyingi kwa mwendo mfupi. Mfano anayepanda gari la posta makumbusho kama anaenda sayansi lazima aongeze nauli.

Anayetoka boko analipa 750 badala ya 600 zilizokuwa zinaishia Mwenge hivyo kumlazimu kutumia fedha nyingi kwa safari moja. Stand hii ingeungwanishwa na kujenga soko kubwa na zuri ili kuleta mandhari iliyo sahihi, kuliko soko lililopo limebana sana na halina mpangilio.

Hapo parkingi nzuri ikipatikana tayari TARUTA wamepata mapato.

IMG_20200310_110547.jpg
 
Sana Jf,

Ni jambo la kupendeza kurudishwa standing ya Mwenge kwani kilikuwa kiungo muhimu sana kwa wasafiri Wa sehemu nyingi. Kituo hiki ni kizuri kwa biashara, kizuri kwa watu kubana matumizi kulipa nauli nyingi kwa mwendo mfupi. Mfano anayepanda gari la posta makumbusho kama anaenda sayansi lazima aongeze nauli.

Anayetoka boko analipa 750 badala ya 600 zilizokuwa zinaishia Mwenge hivyo kumlazimu kutumia fedha nyingi kwa safari moja. Stand hii ingeungwanishwa na kujenga soko kubwa na zuri ili kuleta mandhari iliyo sahihi, kuliko soko lililopo limebana sana na halina mpangilio.

Hapo parkingi nzuri ikipatikana tayari TARUTA wamepata mapato.

View attachment 1382831
Acha uzwazwa dogo hiyo ni kazi ya mayor wa manospaa na madiwani,
 
Sana Jf,

Ni jambo la kupendeza kurudishwa stendi ya Mwenge kwani kilikuwa kiungo muhimu sana kwa wasafiri Wa sehemu nyingi. Kituo hiki ni kizuri kwa biashara, kizuri kwa watu kubana matumizi kulipa nauli nyingi kwa mwendo mfupi. Mfano anayepanda gari la posta makumbusho kama anaenda sayansi lazima aongeze nauli.

Anayetoka boko analipa 750 badala ya 600 zilizokuwa zinaishia Mwenge hivyo kumlazimu kutumia fedha nyingi kwa safari moja. Stand hii ingeungwanishwa na kujenga soko kubwa na zuri ili kuleta mandhari iliyo sahihi, kuliko soko lililopo limebana sana na halina mpangilio.

Hapo parkingi nzuri ikipatikana tayari TARUTA wamepata mapato.

View attachment 1382831
Kupoteza pesa za walipa kodi ndio anachojua
 
Sometimes ni muhimu kusimama na ukweli... Plan ya stand hiyo ipo tangu kitambo kabisa kwenye mchoro wa upanuzi wa barabara na wakati ule stand inahamia makumbusho ilitangazwa wazi kuwa ni stand ya muda
Sana Jf,

Ni jambo la kupendeza kurudishwa stendi ya Mwenge kwani kilikuwa kiungo muhimu sana kwa wasafiri Wa sehemu nyingi. Kituo hiki ni kizuri kwa biashara, kizuri kwa watu kubana matumizi kulipa nauli nyingi kwa mwendo mfupi. Mfano anayepanda gari la posta makumbusho kama anaenda sayansi lazima aongeze nauli.

Anayetoka boko analipa 750 badala ya 600 zilizokuwa zinaishia Mwenge hivyo kumlazimu kutumia fedha nyingi kwa safari moja. Stand hii ingeungwanishwa na kujenga soko kubwa na zuri ili kuleta mandhari iliyo sahihi, kuliko soko lililopo limebana sana na halina mpangilio.

Hapo parkingi nzuri ikipatikana tayari TARUTA wamepata mapato.

View attachment 1382831

Jr
 
Kuna mengi wapambe mnamremba Magufuli wakati yeye mwenyewe hana taarifa nayo!
 
Sana Jf,

Ni jambo la kupendeza kurudishwa stendi ya Mwenge kwani kilikuwa kiungo muhimu sana kwa wasafiri Wa sehemu nyingi. Kituo hiki ni kizuri kwa biashara, kizuri kwa watu kubana matumizi kulipa nauli nyingi kwa mwendo mfupi. Mfano anayepanda gari la posta makumbusho kama anaenda sayansi lazima aongeze nauli.

Anayetoka boko analipa 750 badala ya 600 zilizokuwa zinaishia Mwenge hivyo kumlazimu kutumia fedha nyingi kwa safari moja. Stand hii ingeungwanishwa na kujenga soko kubwa na zuri ili kuleta mandhari iliyo sahihi, kuliko soko lililopo limebana sana na halina mpangilio.

Hapo parkingi nzuri ikipatikana tayari TARUTA wamepata mapato.

View attachment 1382831
Source ya information hii nj ipi?
 
Mnarudisha stendi ya Mwenge?

Aisee mna vichaa!

Patapitika kweli?

Yaani dunia hii kuna vichaa sijui akili wanawekaga wapi!

8th wonder of the world aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom