Recent content by bakayoko

  1. B

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuwa kiongozi "college of business education" (cbe)

    Hii ni hatari! Wanachuo hawa wanatoa wapi pesa za kuchukulia fomu? Wanatumia mikopo ya board(maana ndiyo chanzo chao kikuu cha mapato), wanalipiwa na wazazi? (inakuwaje kwa walala hoi?) uongozi wa chuo hiki sasa ni kwa wateule tu, wenye uwezo kifedha!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Fursa za masomo India na Australia

    Hi! Thanks Much Maxence Melo.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Swali!

    Asante kwa kunipa uhakika. Kama dead line bado na unajua sifa na nafasi zilizotangazwa naomba nipe nijaribu kuomba. hasa za Uhasibu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Swali!

    Wana Jamii! Hivi kuna nafasi za kazi zilitangazwa na Hazina Mwezi huu wa nne kati ya Tarehhe 8 na 15? Kuna mtu aliniambia kuna nafasi za Uhasibu zimetangazwa. Ni kweli? Nisaidieni.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mpakanjia is no more!

    Yeye ametangulia,sisi tupo nyuma yake! Mungu aiweke Roho yake Mahala papostahili. Amin
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni zipi dalili za kujua mwenzi wako kuwa anacheat!!!

    Watu wengi siku hizi bongo wana cheat. Maisha ya mahusiano ni magumu sana. Mungu atunusuru na balaa hili. Watu hawaoni hili gonjwa la ukimwi!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari Honda CRV/HRV au Inspire

    Hi! Mimi naweza kukuagizia ktoka Japan kwa bei ya Owner kwa Commission Kidogo. Sina Yard lakini nafanya Biashara kama Commssion Agent. Itachukukua kama 2 Months tangu kulipa mpaka kufika Bongo. Nitakufanyia na Clearance pamoja na Registration. Meli ya Tar 14 July ya NYK ina mzigo wa watu 3...
  8. B

  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina la NGO

    weka jina lolote ila onyesha shughuli unazofanya!
Back
Top Bottom