Natafuta gari Honda CRV/HRV au Inspire

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
Heshima mbele wakuu..

Ndo kama hivyo natafuta gari ya kutumia mi mwenyewe iwe ni Honda na iwe ni model ya kuanzia 2002.

Kama kuna mdau anayo aweke details then tuongee biashara.
 
Unaihitaji kwa kukodisha au kununua? Be very specific as we have HONDA CRV model 1998 in a neat condition, registered with valid road license exp: 2010, insurance valid to 2010
 
Thanks Mshiiri,

Nahitaji kununua gari. Model iwe ni kuanzia 2002.

As for the 1998 Honda CRV hiyo siko interested nayo please check kama kuna uwezekano wa kupata Honda with my specs.

Najua most of the specs are standard: PW, PM, ABS, AC, AT/MT etc.

Kama kuna mtu anayo please let me know nataka niimalize hii deal the soonest.
 
Heshima mbele wakuu..

Ndo kama hivyo natafuta gari ya kutumia mi mwenyewe iwe ni Honda na iwe ni model ya kuanzia 2002.

Kama kuna mdau anayo aweke details then tuongee biashara.

DMussa,
Siyo rahisi kupata gari la mwaka 2002 kwa TZ kutoka kwa mtu na hata show room ni chache unakoweza kupata gari la mwaka huo. Unajua ni kwanini? Watu wengi huwa wanaagiza magari yenye miaka 9-10 ili kukwepa tu faini ya kodi kwa gari la zaidi ya miaka kumi. Kwa maana hiyo magari mengi TZ ni ya mwaka 2001 na kurudi nyuma machache sana ya 2002. Magari ya mwaka 2002 ni ghali hata watu wa show room wanayaogopa kuhofia kukosa wateja. Suluhisho ni kuagiza wewe kutoka Japani tena kwa bei nafuu tu. Ingia kwenye website hii: http://www.tradecarview.com/

Honda CRV peke yake hizi hapa: http://www.tradecarview.com/used_car/japan%20car/honda/cr-v/?st=12&pn=1&ps=25&pb=7

NB: Umeongea na wataalamu wa magari wakakushauri kununu Honda CRV? Maana nimesikia watu wakisema hizo gari zina matatizo sana japo sijawahi kuuliza ni matatizo gani.
 
Last edited:
Heshima mbele wakuu..

Ndo kama hivyo natafuta gari ya kutumia mi mwenyewe iwe ni Honda na iwe ni model ya kuanzia 2002.

Kama kuna mdau anayo aweke details then tuongee biashara.

ipo Toyota Carina ex-UK, ipo katika hali nzuri ni manual gear kama utaitaji piga namba zifuatazo 0713943995.
 
Hi! Mimi naweza kukuagizia ktoka Japan kwa bei ya Owner kwa Commission Kidogo. Sina Yard lakini nafanya Biashara kama Commssion Agent.
Itachukukua kama 2 Months tangu kulipa mpaka kufika Bongo. Nitakufanyia na Clearance pamoja na Registration.
Meli ya Tar 14 July ya NYK ina mzigo wa watu 3 niliowaagizia mwishoni mwa mwezi May 2009.
Gari itakuwa nafuu na Madhubuti kuliko kununua hapa kwa mtu.
Tuwasiliane kama unahitaji.
 
Thanks mkuu.
Nitakupa namba yangu kwenye PM.
 
Back
Top Bottom