Ni zipi dalili za kujua mwenzi wako kuwa anacheat!!!

Wewe ndio unaelewa game aisee. Kuongezea tu, watu wanatiana kwenye magari, vichaka, na sehemu zingine. Na kutiana hakuchukui masaa...ni vidakika vichache tu kitu na boksi. Halafu mwenzio akirudi jioni saa zile zile za kila siku anakuambia 'hi honey i missed you'...anakupiga na busu wakati katoka kumegwa au kumega..sasa hapo utashuku nini?...ahahahahaha...mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...

Na wewe ambae hauko kwenye relationship tunakuonea huruma zaidi maana tabia yako ya kula vya wenzio imeshastukiwa. Uko mbioni kunyakwa!
 
Wewe ndio unaelewa game aisee. Kuongezea tu, watu wanatiana kwenye magari, vichaka, na sehemu zingine. Na kutiana hakuchukui masaa...ni vidakika vichache tu kitu na boksi. Halafu mwenzio akirudi jioni saa zile zile za kila siku anakuambia 'hi honey i missed you'...anakupiga na busu wakati katoka kumegwa au kumega..sasa hapo utashuku nini?...ahahahahaha...mlioko kwenye relationship nawaonea huruma sana! Poleni...

duh!................
 
Kuna rafiki yangu (mdada) anafanya kazi Vodacom,siku moja alinihadithia; ofisi yake ni jirani na ofisi ya kaboss kake (mwanaume) na zimetengwa kwa vioo vizito (semi-tinted), so u can c inside although not very clear. Siku hiyo (mdada) amechelewa kutoka ofisini kufika kwenye gari amesahau funguo za gari akarudi ofisini kwake, akapita ofisi ya kaboss, anackia miguno akageuza shingo na kuangalia vizuri anaona figure mbili juu ya meza, mchezo mtindo mmoja, ilibidi anyate hadi ofisini kwake nakuchukua funguo ya gari bomba, aliyoyaona ni kinyaaaaa!!!!!!
Sipati picha mafaili yote yalitupwa chini..........
Ukirudi nyumbani ooh nimechoka kazi nyingi!!!!
 
Hahahahaha kumegana popote pale iwe kwenye nyasi,choo passport size,jikoni,sebuleni, hata kanisani popote pale unapata kitu roho inapenda ila usiwe na aibu.
 
Not easy to know wengine wanakuwa ok kwa kila kitu home but one chance three goals outside!!!

...kweli kabisa aisee, dalili ni nyingi mno sana wakuu kiasi kwamba hata mkiziorodhesha hapa hazitatosha, Hizi mlizozitaja ni dalili ndogo ndogo tu tena za nje. Kumbukeni kuna wenye roho ndogo, watavunja ndoa zao buree.

Mengine wala siyo ya kuyajadili wakubwa, shauri zenu. :(
 
Watu wengi siku hizi bongo wana cheat. Maisha ya mahusiano ni magumu sana.
Mungu atunusuru na balaa hili. Watu hawaoni hili gonjwa la ukimwi!
 
Watu wengi siku hizi bongo wana cheat. Maisha ya mahusiano ni magumu sana.
Mungu atunusuru na balaa hili. Watu hawaoni hili gonjwa la ukimwi!

Othmani Bakayoko uyasemayo ni kweli kabisa yaani ni kuomba tu MUNGU maana wewe unawezakuwa mwaminifu akakuletea magonjwa mwenzio sometimes nawaonea wivu wasiokuwa na mahusiano maana wana uwezo wa kuchagua kuwa hai au awafu watarajiwa.
 
tupo kwenye boat 1 mami, huko nje jamani mckubali mapenzi bila kinga, cc wa ndani ndio hivyo tena hatuwezi kuwaambia jamaa watumie kinga, yaani bac tu.
 
tupo kwenye boat 1 mami, huko nje jamani mckubali mapenzi bila kinga, cc wa ndani ndio hivyo tena hatuwezi kuwaambia jamaa watumie kinga, yaani bac tu.

Kama huna imani na mzee unamwambia wazi wazi bana kuanzia sasa tunaanza kutumia kama kufa ufe peke yako lasivyo tukapime kwanza.
 
Kama huna imani na mzee unamwambia wazi wazi bana kuanzia sasa tunaanza kutumia kama kufa ufe peke yako lasivyo tukapime kwanza.

ninayo lakini sio 100%, ukishang'atwa na nyoka hata kijana kikikupapasa washtuka.....
 
Walio maoficn wanaona jinsi watu wanavyo chiti, wa majumbani nao pia wanaona wake za maboss wanavyomegwa kibaya zaidi ni pale mtu anaponogewa na kujisahau hadi anabambwa na mwenzi wake.

mfano mmoja kuna mkaka mmoja yeye ni mhasibu ktk kampuni flani ya umma mai waifu wake ni mama wanyumbani, sasa huyu mkaka anamega masektrati wote walio bomba, mabinti wanaokuja kufanya mafunzo ya vyuoni ss ameingia kwa wafanya usafi. huku nyuma mkewe anamegwa na kijana wa ngombe, houseboy na mlizi pia. Tuliyajuaje haya yote!! nina ndugu yangu ambaye ni daktari ss huyu mkaka famililia inatibiwa kwenye hiyo hospitali yule mama mara kadha amesha kwenda kuropowa mimba za hao wafanyakazi wake na kila anapompachika mimba mama anawatrimua wote ili wasije sema kwa mzee sas siku ya 40 zao zikafika. mama alipata tatizo kwao akaaga kwenda kwao mr akamfungashia na safari ikafika akaenda kwao sas muda aliopanga kurudi akaukatisha akarudi bila taarifa kufika nje anaona gari la mumewe limepaki nje akajiuliza kulikoni mzee hajaenda mzigo, kuingia ndani cha kwanza kuona ni shati la mumewe ktk kochi kugeuka upande wapili kanga ya baki 3 na chupi ziko sakafuni bp ikapanda akakaa chini kutulia akasikia vilio vya furaha vinatoka chumbani kwa beki 3 akanyata taratibu hadi mlangoni akawa anasikiliza kama ni kweli ama la akarudi jikoni akachemsha maji ktk birika akaenda nalo moja kwa moja hadi chumba cha beki3 kufungua mlango ghafla mumewe ndio anaburudika nadhani kilikuwa cha mwicho jasho likamtoka akawamwagia yale maji moto wote waliungua but mume ndie aliungua zaidi maana yeye alikuwa juu ya tuta.

beki3 akaja juu kwanini mama umenimwagia maji ya moto mbona wewe ukifanya na kina john na omary simwambi baba?? (john kijana wa ngombe na omary ni mlinzi)
 
yale yale ya ma colleague, anasemaga mr wake hachiti kabisa, mana anarudi home saa 11 juu ya alama, jmoc/jpili ni cku ya kupumzika home na familia,yupo free na simu ya mumewe kuanzia kusoma sms hadi kuchunguza jina gani limeongezwa leo etc, lakini angejua huyo mume anayoyafanya chini ya jua nadhani ataparalaizi, mume hajatulia hata nukta.....btw! mie nashangaaga unamwamini mtu kwa kic hicho? yani unajiona kabisa kwamba wewe ni wewe.... mie hata nikimkuta home saa 6 mchana haijanifanya nione kwamba jamaa achezi rafu......haaa

Na ni vizuri kutokuwa na imani ya asilimia mia, kwani siku ukikuta ndivyo sivyo, unaweza kufa kwa presha
 
Anapobadilika na kuwa tofauti na ulivyomzoea na ulivyozizoea namna zake. Kumbe ili kujua mabadiliko hayo lazima umjue mwenzako vizuri tangu mnapoanza mahusiano yenu. Usipuuzie chochote hata kile kilicho kidogo kabisa. Ukiwa makini katika kumjua akija kupata huko nje hata awe mjanja namna gani utamnasa tu. Vinginevyo hukumjua.
 
Back
Top Bottom