Natafuta jina la NGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta jina la NGO

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dingswayo, May 31, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Natafuta jina la kuipa NGO ambayo shughuli zake tofauti zitakuwa kuboresha maisha ya watu wa kawaida wa kila rika nchini Tanzania. Jina linaweza kuwa la Kiingereza au kiswahili, lakini liwe fupi na lenye kuleta mvutio. Natanguliza shukrani.
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuboresha nyanja ipi ya maisha? kwa njia zipi?
   
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa ujumla, nyanja nyingi: elu, afya, uchumi etc
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mwenzetu kaomba maoni kuhusu jina na siyo aina ya shughuli atakazo kufanya au walengwa wa shughuli hizo.

  Mkuu unayeomba ushauri.... jina litakalofaa napendekeza kwanza ingia kwenye data base ya NGOs...angalia website ya Foundation for Civil Societies utaona NGOs mbalimbali na majina au uliza ofisi ya Makamu wa Rais kitengo kinachoshughulika na NGOs - hii itakusaidia usitumia jina ambalo tayari lipo.
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa ushauri WOS. God bless.
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ili kushauri jina inabidi kujua nilivyouliza dada, au?
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tunataka kufanya projects mbalimbali katika nyanja tofauti kutegemea na umuhimu au ulazima wa kila mahali maalum katika nyanja nilizotaja hapo juu.
   
 8. M

  Masatu JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Iite "VIJISENTI"
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa uashauri wako.
   
 10. M

  MathewMssw Member

  #10
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ita '' Transformed''
   
 11. b

  bakayoko Member

  #11
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  weka jina lolote ila onyesha shughuli unazofanya!
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuboresha Maisha ya Watu wa Kawaida wa kila rika nchini Tanzania. tumia vifupi hivyo nilivyo bold.
   
 13. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Daah! Ushauri mwingine bana, wacha tu..!
   
 14. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  "VIJISENTI SOUNDS GOOD" ila hutapata wafadhili hahaha!
   
 15. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana wadau, nimeshapata jina na sasa tupo njiani kusajili NGO. Pindi ikipata usajili, nitawajulisheni jina na projects ambazo tutaanza nazo humuhumu kwenye tuta kwa vile nategemea kupata wataalamu wa nyanja husika kutoka kwenu. Kila la heri.
   
 16. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  NIMEJARIBU KUWEKA HIZO INITIALS...MBONA MIMI HOI!! KU..WAKA??

  Duh!!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni lazima u-define scope kabla ya kupata jina, na pia si dhani kama kuna NGO inafanya projects mbali mbali katika nyanja tofauti--- andaaa vision yako na mission statement, mara nyingi hivyo viwili huleta idea nzuri ya identity ya NGO yako na hivyo jina lake

  La sivyo waweza kuiita jina lolote hata Arsene Wenge (Mr. Bean) relief agency; Non Guide Operational; Vijana chapa kazi movement...

  Bila dira hutakuwa na mafanikio, na jina hu-reflect dira mkuu

  ...unless you are just teasing the forum


  ....Dad:rolleyes:
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  He.... Mimi nikajua aliyeomba ni Dingswayo!!! au mko pamoja???


  I smell fish aisee
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Tafadhari usiseme kwa nguvu mods watasikia, mkuu alijisahau..kwikwikwi
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Duh poa mazeee... nasepa kimyakimya
   
Loading...