Recent content by BAJODI

  1. B

    JamiiForums Tanzania vyeti Vya wahitimu SUA 2012

    naomba kujuzwa kwa wenye taarifa za vyeti vya wahitimu 2012 vitatokalini? Kwa chuo cha kilimo sokoine.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waliobanwa katika ajali wafariki

    mabadiliko ni mimi,ni wewe,ni sisi twaweza.chukua hatua!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

    hakunaga mwanasiasa wa mwisho kama Lameck (mwaigulu nchemba) ktk siasa za Tanzania
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

    domant minded people! Think mideocre ideas
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    mtela naona unatupa karata yako ya mwisho kabla hujaondoka na kutoweka ktk sura ya siasa ya tz maana kwangu mie kelele zako hizo ni kama mwangwi,umekwisha potea basi punzika wee maana siasa zimekushinda.we ndo msaliti no.1 na si cdm chama sikuzote hakiwezi kumsaliti indivial person.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wote waliokopa heslb inawahusu!

    ndiyo tutafanya hivyo lakini kwa sharti kuwa watupe ajira kwanza.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    mbona tulisha sema slaa kwanza zitto bado kidogo zamu yake inakuja
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    je wale wenye vyeti vizuri wanafanya mageuzi gani maana unaweza kuwa na elimu kubwa lakini hakuna change yoyote wanayoyafanya.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Wamiliki wa JamiiForums ni Watanzania wanaoitumia

    may be Sir God
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Wamiliki wa JamiiForums ni Watanzania wanaoitumia

    so what?!???!????!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    mtazunguza yote mkiishiwa mtatulia maccm hayo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Shonza!

    maccm yanajua ya kuwa wewe shonza kama siku ukitoka ccm utakuwa hivyo hivyo maana unapojaribu kuua kwa upanga na wewe utakufa kwa njia hiyo hiyo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitajiuzulu endapo wabunge wa CHADEMA watapungua 2015

    msinukuu kauli za watu vinaya,alisema kuwa hatagombea urais siyo uenyekiti
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahutubia Taifa - Mwisho wa Mwezi Februari

    very weak indeed.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    poteza mwelekeo hawa magamba.
Back
Top Bottom