Maxence Melo: Wamiliki wa JamiiForums ni Watanzania wanaoitumia

Ukimpata nakupa zawadi ya kuniwekea $1mil. kwenye acc yangu
Umlete hapa na Invisible tupate maakuli

176676_536984439662404_1561188474_o.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wamiiliki wa JF ni Mwigulu Nchemba, Nape nnauye, Abrahamani kinana, Asharose Migiro, Mzee wa kilimo cha nyanya (Mangula) na yule mwenye sura ya kazi (Wasira).
Hata Mimi nilipata kusikia eti AK a.k. a. (Jangiri ) au Dentist wa Tembo ni mmoja wa wamiliki wa JF. Inasemekana yale meno ni mradi wa maghamba kwa maandalizi ya 2015, na ndiyo maana serikali yao inahaha kupata kibali cha kuyauza !
 
Hata mimi namtafuta

Mkuu invisible. Nimecheka mbavu kuuma!! Ukimpata mlete fasta tunamtafuta maana anasababisha watu wanasema ukweli!!! Tutamchapa huyo!! Fimbo 12 akiingia na fimbo 12 akitoka ili akifika nyumbani akamwonyeshe mkewe m.a.k.a.l.i.o maana ni hatari.
 
Hahahahahahahahahaha wadau mnanikumbusha maneno ya Le Mutuz Le Baharia Dar City ha! ha! ha! ha! ha! ha!
 
Last edited by a moderator:
Waziri wa sayansi na technologia aliwahi kusema mmiliki wa jamii forum hafahamiki na alikiri kuwa mtandao huu umesajiliwa nje ya nchi je mmiliki wa mtandao huu ni nanii au kinanani

uliza kwanza wamiliki wa haya magorofa yanoyoota kama uyoga mjini wamiliki nani?? then JF
 
Mauzi kama haya si yazimwe juu kwa juu tu? Hayana tija kwenye jf, Hapa jf tunapata elimu, taarifa na mambo mengi ya msingi kumbe wengine wanapata vichomi! wafie mbali
 
Watu wana -ve attitude kwani kuna ubaya gani kumfahamu mbona mmiliki wa you tube, twitter, facebook, mvumbuzi wa Aris anajulikana na tukisha mfahamu tumpe heshima yake kwa ubunifu wake. Acheni uoga wa Tanzania, lakini hata hvyo nashukuru kwani amesha sema mwenyewe ni bwana Mushi na Melo ndio walianzisha 2006 kama jambo forum
lakini bado mimi ninaswali mbona nchi za ulaya na marekani mbona wao hawana mitandao kama hii mitandao kama hii ipo zaidi nchi za kimasikini kama Tz , kE, Na malawi
 
Umjue ili iweje? usilete habari za Kidwanzi hapa wengine sisi wengine Jf ndio kila kitu.
 
Back
Top Bottom