Recent content by Baiskeli

  1. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuagiza mzigo kutoka India Kuja Tanzania

    Wasiliana na huyu agent+91 98207 86429
  2. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Nitumie plug gani kuwatch mpira live?
  3. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Nikodishie PRESSURE WASHER

    Ninayo ya umeme na ya mafuta.
  4. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Amiba na Typhoid sugu

    Mkuu ni pm nikupatie dawa ya mitishamba.. ila bei yake imechangamka. Only one week kwisha kabisa tatizo. Tshs 80000.
  5. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi-Pajero mini na Pajero junior

    Mukuru ulinunua wapi na bei gani?
  6. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Hand scanner with 32gb memory free

    Weka mawasiliano wewe mutu..
  7. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

    Weka weka picha ya premio nione ndo nayotaka? Bei si inapo? Nalipa nikiona gari?
  8. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

    Pnahitaji premio
  9. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kwa anayejua namna ya kuunganisha android phone kwenye TV via HDMI

    Hizi cable kwa mwanza napatika wap?
  10. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

    Wakuru mi nalipenda sana verosa.. nataka kulichukuwa next month.. ushauri wenu wakuru wajuzi ... model gani ni sawa sawa mfano consuption.
  11. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

    sifa kubwa ya huu mtandao ni 3g tz nzima safiri na gari toka dar mpaka mwanza ni full 3g. natumia mtandao wao leo wiki mbili ni full speed. movie ya mb 550 unashusha kwa chini ya dkk kumi. ni kqmpuni ya jeshi la vietnam.
  12. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Baidu Browser

    Mkuu Naomba msaada Mimi natumia tecno p7 tatizo ni hay matangazo name web za ajabu ajabu kufunguka mpaka shida. Vinafunguka city bila hat a kufungua brouser mbaya zingine zinajidownload bila ruhusa. Nifanye mini ndugu nitoe hii kitu????
  13. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Export Business: Uliza chochote kuhusiana na Export Documentation

    tuwekee maelezo yote ya ku safirisha mazao ya chakula nje mkuu.
  14. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    Mkuu naomba na mie pm hali ngumu kwa dstv
  15. Baiskeli

    JamiiForums Tanzania Naitaji ufuta kilo 2700

    Uko wp wewe?
Back
Top Bottom