Mitsubishi-Pajero mini na Pajero junior

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
Wakuu nimezipenda hizi gari ni ndogo kimuonekano kama bajaji vile unaweza penya kwenye foleni, zina engine ndogo hivyo kuwa na matumizi madogo ya mafuta pia.

Je kuna mwenye uelewa zaidi anifungue macho
 
Ninayo gear box yake ndani, niliivua tu baada ya gari kuja. Ni mpyaaa. Ilizingua converter ikabidi ninunue nyingine. Kiukweli Pajero Mini Mitsubishi wamechemsha. Kwanza kana kula mafuta kuliko hata Gx 100! Bora uchukue Pajero Junior au Suzuki Jymni...
duh mi nilitegemea kananusa wese kumbe hali ndiyo hiyo, duh balaa
 
Ninayo gear box yake ndani, niliivua tu baada ya gari kuja. Ni mpyaaa. Ilizingua converter ikabidi ninunue nyingine. Kiukweli Pajero Mini Mitsubishi wamechemsha. Kwanza kana kula mafuta kuliko hata Gx 100! Bora uchukue Pajero Junior au Suzuki Jymni...
sio kweli mkuu unapotosha .sema gari yako itakuwa na shida mahali.vile vile wengi mnazikosea sana gari mnazipa mizigo mikubwa na kuzioverdoze hydrolic mnaweka sio mnaweka za bei rahisi mtu anaweka hydrolic ya elfu 5 kweliiiiiiiiiiii
 
Mkuu jaribu uone. Ninaye jamaa naye anakiuza baada ya kusumbuliwa sana na hiki kigari. Kwa apearance kiko vizuri but but technically kina errors nyingi...
 
Ninayo gear box yake ndani, niliivua tu baada ya gari kuja. Ni mpyaaa. Ilizingua converter ikabidi ninunue nyingine. Kiukweli Pajero Mini Mitsubishi wamechemsha. Kwanza kana kula mafuta kuliko hata Gx 100! Bora uchukue Pajero Junior au Suzuki Jymni...

Mukuru ulinunua wapi na bei gani?
 
Ninayo gear box yake ndani, niliivua tu baada ya gari kuja. Ni mpyaaa. Ilizingua converter ikabidi ninunue nyingine. Kiukweli Pajero Mini Mitsubishi wamechemsha. Kwanza kana kula mafuta kuliko hata Gx 100! Bora uchukue Pajero Junior au Suzuki Jymni...
Kiongozi,engine ya pajero junior naweza patia wapi?
 
V
Wakuu nimezipenda hizi gari ni ndogo kimuonekano kama bajaji vile unaweza penya kwenye foleni, zina engine ndogo hivyo kuwa na matumizi madogo ya mafuta pia.

Je kuna mwenye uelewa zaidi anifungue macho
u
Ulifanikiwa kuuchukua hiyo gari?
 
Back
Top Bottom