Nikodishie PRESSURE WASHER

Nikodishie PRESSURE WASHER

Joined
May 11, 2016
Posts
75
Reaction score
149
Wakuu natafuta mtu mwenye pressure washer ambayo hana matumizi nayo kwa sasa.

  • Iwe ya mafuta
  • Nitalipa kwa wiki/mwezi
  • Niko Tabata
  • Iwe anafanya kazi
Mazungumzo zaidi njoo PM, namba yangu ni 0658584706
 
More details weka basi.

Offer yako ya wiki au mwezi ni kiasi gani? na je vipi kuhusu utunzaji wa mashine nao, ikiharibika msala anabeba nani? mashine iwe na nguvu kiasi gani?
 
Kuna jamaa humu anauza bei nzur,ngoja nilete uzi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom