Msaada kuhusu Baidu Browser

Msaada kuhusu Baidu Browser

thedaydreamer

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
372
Reaction score
88
Hii browser ni nzuri, ila kwa upande inasumbua kwenye ishu ya ads, yani kila nikiingia kwenye page ninayoitaka inanipeleka kwanza kwenye page ya ads powered by cinema, mpaka niclick tena leave this page, mda mwingine zinakuwa zinafunguka tabs nyingi nyingi tu za matangazo mpaka pc inastuck, kwa yeyote anaefahamu namna ya kudisable tafadhali.
 
hii browser ni nzuri, ila kwa upande inasumbua kwenye ishu ya ads, yani kila nikiingia kwenye page ninayoitaka inanipeleka kwanza kwenye page ya ads powered by cinema, mpaka niclick tena leave this page, mda mwingine zinakuwa zinafunguka tabs nyingi nyingi tu za matangazo mpaka pc inastuck, kwa yeyote anaefahamu namna ya kudisable tafadhali.

install Ad blocker

ila kua makini kwamba kuna malicious software nyingine huenda hata sio shida ya Browser,utakua uli install software ambayo ime install ki software kingine aside kinachokurushia hayo matangazo kwenye browser...
nenda control panel tafuta software yenye jina linalofanana na hayo matangazo e.g Cinema kama ulivosema matangazo yana jina la powered by cinema.

hope this helps
 
nimecheck control panel programmes zote nazijua na sijaiona hiyo inayoweza kupelekea, nimedownload ads remover ila bado zinaendelea tu yani nyingi ni hizo zinazoandika powered by cinema, nyingine za alibaba zinafunguka kwenye tab hiyo hiyo au ata tab ingine inakuja tu yenyewe
 
Hiyo browse naonaga kama inamapepe sana, labda utuambie unaipendea nini.?
 
Duuh browser zote umechagua hiyo mkuu? Mi naiona kimeo kweli
Hebu tupe siri ya urembo
 
kuna feature kadhaa nimeipendea baidu, muonekano, ukiplay video yoyote online kunaoption ya kudownload faster tu just by a single click na pia ukitaka kushare link simple tu, anyway nitajaribu kubadilisha ata nitumie firefox ingawa opera nayo inazingua hivyo hivyo tu. Inakuaga kero kweli zinakuja tabs nying mara za dating site live chart mbs zinalika tu
 
Mozilla funga kazi mkuu
 
Tatizo sidhani kama ni browser mkuu, inawezekana ni ads-on. Ziangalie kwenye browser yako unaweza kuzikuta...
 
kuna feature kadhaa nimeipendea baidu, muonekano, ukiplay video yoyote online kunaoption ya kudownload faster tu just by a single click na pia ukitaka kushare link simple tu, anyway nitajaribu kubadilisha ata nitumie firefox ingawa opera nayo inazingua hivyo hivyo tu. Inakuaga kero kweli zinakuja tabs nying mara za dating site live chart mbs zinalika tu
Wanatake advantage ya mtu kutoelewa browser wakakupa browser yenye download manager halafu wanakubambikia matangazo.

1. Download firefox
2. Eka add blocker
3.download flash video downloader

Utapata browser yenye nguvu kushinda hio. Hizo downloads utazipata store ya mozilla ukigoogle hayo maneno utaona kwenye search result
 
Mkuu
Naomba msaada Mimi natumia tecno p7 tatizo ni hay matangazo name web za ajabu ajabu kufunguka mpaka shida. Vinafunguka city bila hat a kufungua brouser mbaya zingine zinajidownload bila ruhusa. Nifanye mini ndugu nitoe hii kitu????
 
Ndugu thedaydreamer na watumiaji wengine hakikisha ume_download na Kuistall ADMUNCHER kwenye PC yako ili kuepukana na matangazo matangazo kwenye page.

Chukua admuncher hapa
Code:
 https://www.admuncher.com/

Upande wa BRowser nzuli yenye (1) Built in Ad blocker & (2) Download manager nzuli - Napendekeza MAXTHON Browser

Ichukue hapa
Code:
 http://www.maxthon.com/
Wanatake advantage ya mtu kutoelewa browser wakakupa browser yenye download manager halafu wanakubambikia matangazo.

1. Download firefox
2. Eka add blocker
3.download flash video downloader

Utapata browser yenye nguvu kushinda hio. Hizo downloads utazipata store ya mozilla ukigoogle hayo maneno utaona kwenye search result
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wote wenye shida ya matangazo katika browser zao kama ndg "thedaydreamer" ni kwamba
matangazo huwa kwenye mfumo mzima wa internet katika computer husika kama ilisha pata zile silent installations za malicious software.
kuhakikisha hili nenda control panel then type kwenye search box "internet option" then ifungue hii sehem utakuta default search engine imebadilika na kuwa na link inayofanana na kile kinachofungukwa kila ukifungua browser yako.
solution yake ni kubadilisha hiyo link na kandika ya kawaida kama Google hivi au yahoo. yaan hivi Google then click oky.
baada ya hapo install anti malware software kama Malwarebyte then fanya kuscan pc alf utest kama problem still persists.
 
Ndugu thedaydreamer na watumiaji wengine hakikisha ume_download na Kuistall ADMUNCHER kwenye PC yako ili kuepukana na matangazo matangazo kwenye page.

Chukua admuncher hapa
Code:
 https://www.admuncher.com/

Upande wa BRowser nzuli yenye (1) Built in Ad blocker & (2) Download manager nzuli - Napendekeza MAXTHON Browser

Ichukue hapa
Code:
 http://www.maxthon.com/

shukran mkuu maxthon cloud browser imemaliza tatizo
 
Last edited by a moderator:
ila nitaimiss baidu browser, ilikuwa inawhatsapp rahis tu kutumia kwenye pc na pia fb inaninotify kama ata nina message au notification yoyote
 
Hizo ni extension tu, kila kitu unachokiona humo unaweza kieka kwenye firefox au chrome.

Whatsapp si website tu unaingia? Na facebook notification zipo kibao google facebook notification utaona add ons zinazofanya kazi hizo
 
zitaweza kukaa ndani ya browser ninayoituma sasa kama ilivyokuwa baidu au zinakuwaseparate?
 
Hii browser ni nzuri, ila kwa upande inasumbua kwenye ishu ya ads, yani kila nikiingia kwenye page ninayoitaka inanipeleka kwanza kwenye page ya ads powered by cinema, mpaka niclick tena leave this page, mda mwingine zinakuwa zinafunguka tabs nyingi nyingi tu za matangazo mpaka pc inastuck, kwa yeyote anaefahamu namna ya kudisable tafadhali.

Ingia GOOGLE tafuta baidu antivirus 2015 install kwenye pc yako then... nenda kwenye TOOLS pale kuna features nyingi utaona feature ya AD BLOCKER iwezeshe/enable it.. then uchague browser ambazo unataka uweke ad blocker ikiwemo baidu browser..... YOU ARE DONE!!! ENJOY.....:A S 41:
 
zitaweza kukaa ndani ya browser ninayoituma sasa kama ilivyokuwa baidu au zinakuwaseparate?

Achana na maxthon tumia firefox, yah zinakuwa ndani ya browser sio separate.

Maxthon ni nzuri kama backup browser ila firefox ni nzuri kama browser ya kila siku
 
Back
Top Bottom