Recent content by BAILO

  1. B

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Maombi tu mzee toa hofu.simple
  2. B

    JamiiForums Tanzania Biashara za magendo zinaongezeka kwa kasi nchini kwa sababu ya mfumo wa kijeshi wa kukusanya Kodi

    Mfano ip hiyo nasi tujiunge
  3. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

    R.I.P Padre lakin me nashangaa kwa baadhi ya watu kuunganisha matukio ya vifo na corona kila anayekufa now kila mtu ni corona hili jambo sio zuri na linaleta taharuki sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Walimu nao wapewe Posho za mwezi kama maaskari

    Nzuri
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la YAMAHA AG 200 kumwaga oil

    aisee na mm ninayo hiyo mpya kabisa ila inamiss sana na zilikuja tatu zote zina miss na ni mpya
  6. B

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka

    usije ukamfunga et unazuia sumu isisambae
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tukue: Kumjadili Jokate hivi ni ubaguzi na sio sifa

    mwachen dad apige kazi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    sio mtoto n twiga aliyekua anakatisha barabara
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kisasa ya kukamua alizeti

    naomba kujua ujazo wa filter yake
  10. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Mbowe Wamesaliti Wakazi wa Dar; Wajitenga Mbali na Waathirika wa Bomoa Bomoa

    kila kitu lowasa lowasa xxa aongee yeye kama nan au unatafuta kibarua kule monduli
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko: Juice za Ikulu

    dalili ya roho mbya sasa akienda ikulu wew inakuuma nn mbn n nyumba kama nyumba nyingine na inapaswa kufikiwa na wageni kama wanavyofika katika nyumba nyingine anywe asinywe wew haikuhusu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwandishi ningeandaa "documentary" yenye kuonyesha athari za bomoabomoa

    wew ndo minus kabsa wakat wanajenga hayo mabanda mbona hawakuwaambia mpaka watu wamekuwa na uhakika wa makazi yao ndo wabomolewe c bure itakua unalala bar wew hata uchungu wa kujenga hujui
  13. B

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa matatu yanayofanywa na serikali ya Dr. Joseph Pombe Magufuli

    wanaounga mkono zoezi hili la bomoa bomoa c bure huwa wanalala bar kwanza kabisa uchungu wa kujenga nyumba hawaujui haiwezekan mtu mmempa kiwanja na hati na amejenga mnamtazama tu baadae ndo mumuambie mahal hpo co sahihi aende wapi sasa kuwen na utu achen mabavu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    M4c: Magufuli for cleanliness
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinamsibu Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye?

    Wew hata majiran hawakutambui sembuse sumaye anayetambulika tanzania nzma heb ingarishe ya kwako kwanz
Back
Top Bottom