Wataalamu naombeni msaada wa nini nifanye. Pikipiki yangu aina ya yamaha ag200 inatoa/ inamwaga oil kupitia kwenye air cleaner, na kila nikiweka oil yote inaisha muda mfupi baadaye kwani inatoka yote kupitia kwenye air cleaner.
Mi nipo mbali na dar, kwa hiyo mafundi wa huku kijijini nilipo walinishauri nibadilishe piston rings na piston niweke mpya lakini tatizo bado lipo pale pale.
Juzi imezima nikiwa kwenye mixunguko yangu na nilipojaribu kuiwasha haikuwaka, hadi baadaye ilipopoa ndo ikawaka ila inapiga kelele sana kwenye engine, so nimeamua kuipaki, na mafundi wa huku hawajui tatizo ni nini.
Naombeeni msaada, haswa wataalamu wa engine za pikipiki za kijapani ili niwaeleze hawa mafundi wangu wanitengenezee chombo chango. Shukrani