gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,351
- 3,403
Kama lugha za mitaani unaweza sema ana nyota ya punda.Kimsingi hana mvuto kabisa mbele ya jamii ukilinganisha na mawaziri wote waliostaafu hapa nchini.
Huyu ni ndugu Sumaye ambae kimsingi anajitahidi sana kujipa promo lakini impact ni ndogo sana.
Bwana huyu ni miongoni mwa wenye kiu ya siku moja kua raisi wa tanzania lakini kimsingi hamasa iliopo juu yake huku mitaani hailingani na hitaji lake.
Inawezekana ni maandalizi hafifu,Inawezekana hana mikakati.
Inawezekana hata u pm ulikuja kwa bahati mbaya.
Naweza nikapingwa lakini kimsingi viashiria vyakukubalika kwake huku mitaani ni hafifu.
Kimsingi Sumaye anahitaji ushauri usio na haya na naamini JF ni miongoni mwao.
Mh mstaafu chambua na upambanue kisha fanya maamuzi sahihi.