Recent content by babymama999

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimemchapa sana mwanangu kwa sababu anapenda michezo anasahau masomo Je ni kosa?

    Darasa la nne asome nini sasa? Kama anaingia darasani inatosha kabisa labda kama ni english medium.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu dawa ya kunguni

    Kunguni hata ukihama kwa muda ukirudi utakuta wanakusubiri
  3. B

    JamiiForums Tanzania Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

    Mwaka wao huu
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Hivi itawezekana kuweka mpaka vyeti vya taaluma kweli?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali yetu isijaribu kuifanya Mwanza iwe kivutio cha utalii kwa kutengeneza mfereji wa bahari mpaka Mwanza

    Unanifanya niamini ule msemo wa Tz ni channel ya vichekesho huko mbinguni
  6. B

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kutumia helikopta kusaka wanajeshi wake waliotoroka mapambano

    hii vita putin kaingia kichwakichwa ataathirika sana kiuchumi, japo rais wa ukraine naye alitakiwa kuyajenga mwanzo, sijui aliahidiwa nini na Mmarekani, naye atapata athari kubwa sana.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watu watano wanaacha kutumia dawa za ARV kila mwaka

    Akiacha kutumia maana yake kachoka kuishi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hivi bei ya maharage ni Tsh 3500 kwa kilo au Mangi kanipiga?

    ukiona amekupiga msimu ujao nenda kalime
  9. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Nimekupigia kura😍
Back
Top Bottom