Kwanini serikali yetu isijaribu kuifanya Mwanza iwe kivutio cha utalii kwa kutengeneza mfereji wa bahari mpaka Mwanza

Habari zenu wakubwa shikamooni

Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.

Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.

Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.

#Yesbishooohaswaaa

Kupanga mji yetu iwe ya kisasa tumeshindwa itakuwa kuhamisha bahari
 
Unajua ni Kwa nini Miinuko na milima hupimwa kutoka USAWA WA bahari?

Ukijua jibu la swali hili basi utagundua haiwezekan Kuchimba huo Mfereji utoe maji baharini kwenda Mwanza.
Labda uyatoe kutoka Mwanza kwenda Baharini
 
Hapana yaaNi hii irltatengeneza kitu flaNi cha utofauti imagine bahari na ziwa vinakua n kitu kimoja ...? Tutakua na identity ss kama nchi
Sensa uliwaambia kuwa una miliki smartphone na hauna gonjwa lolote la akili😁🤔 watafute urekebishe taarifa zako
 
Kweli JF ni mchanganyiko wa watu wa aina mbalimbali na elimu mbali mbali.

Bahari huwa ndio zinakuwa na kina cha chini katika ardhi (surface of the earth) ndio maana hata tunaoongelea urefu kwenda juu tunatuia reference ya bahari - yaani height juu ya usawa wa bahari. Kuna baadh ya miji iko chini ya usawa wa bahari lakini ni sehemu chache sana - kama maeneo fulani Uholanzi.

Kwa hiyo basi, kupeleka maji ya bahari Mwanza, jambo la kwanza ni kutuambia huo mfereji wako wa kufikirika utapandaje mlima, maana altitude ya Mwanza ni juu ya usawa wa bahari!

Ndio maana kuna mtu amekuuliza umeshaamka?
Titanunua pampu za mchina kupeleka maji ziwani
 
Kwani mwanza iko level ya mlima Kilimanjaro?
mwanza,kagera,kilimanjaro ni like kupo milimani na dsm pwani ni like bondeni ndo mana unaona vyanzo vya maji huanzia miliman kuishia bondeni ndo mana jamaa akakuambia maji hayawezi panda mlima au mfano mdogo tu kutoka dsm kwenda mwanza safari ina umbali kutokana na acceleration ya kijiografia ni kama gari inapanda mlima ila kutoka mwanza kurudi dsm kwa gari ni rahisi tu kwa maana ni kama inateremka bondeni.
 
Habari zenu wakubwa shikamooni

Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.

Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.

Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.

#Yesbishooohaswaaa

Kama lengo lako ni maji ya bahari yawafikie watani zangu huko Mwanza, basi tutumie kuyachota kwa ndoo tuwaletee mkuu.
 
mwanza,kagera,kilimanjaro ni like kupo milimani na dsm pwani ni like bondeni ndo mana unaona vyanzo vya maji huanzia miliman kuishia bondeni ndo mana jamaa akakuambia maji hayawezi panda mlima au mfano mdogo tu kutoka dsm kwenda mwanza safari ina umbali kutokana na acceleration ya kijiografia ni kama gari inapanda mlima ila kutoka mwanza kurudi dsm kwa gari ni rahisi tu kwa maana ni kama inateremka bondeni.
Mfereji huwa unachimbwa ili kushusha level. Kama unachimbwa kuelekea bondeni utachimba kidogo ila kama unachimba kuelekea kwenye miinuko utachimba Sana. Sio kweli kwamba huwezi kutoa maji kutoka Baharini kuja kibaha. Suala hapo itakuhitaji uchimbe ili ushushe level na bahari iwe juu.
 
Sukuma gang hovyo sana hapo umeshaamka toka Gambosh hukoo. Malabuku zako.
 
Habari zenu wakubwa shikamooni

Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.

Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.

Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.

#Yesbishooohaswaaa

Kwa mawazo hayo mgando ndio maana wanakaa vikao wao na kupitisha maamuzi wenyewe
 
Kweli JF ni mchanganyiko wa watu wa aina mbalimbali na elimu mbali mbali.

Bahari huwa ndio zinakuwa na kina cha chini katika ardhi (surface of the earth) ndio maana hata tunaoongelea urefu kwenda juu tunatuia reference ya bahari - yaani height juu ya usawa wa bahari. Kuna baadh ya miji iko chini ya usawa wa bahari lakini ni sehemu chache sana - kama maeneo fulani Uholanzi.

Kwa hiyo basi, kupeleka maji ya bahari Mwanza, jambo la kwanza ni kutuambia huo mfereji wako wa kufikirika utapandaje mlima, maana altitude ya Mwanza ni juu ya usawa wa bahari!

Ndio maana kuna mtu amekuuliza umeshaamka?
Naongezea TU mfano wa miji mingine chini ya 0 usawa wa bahari NI Lindi shimoni maeneo ya mjini
 
Habari zenu wakubwa shikamooni

Fundi bishoo hapa nimewaza nimeona hivi kwa nini serikali yetu isingefanya hiki kitu yaani ikatengeneza mfreji wa maji ya bahari kutoka Dar es salaamu mpaka Mwanza halafu waitengenezee kitu kama bwawa flani hivi la bahari ili iwe kivutio maana ni mji mzuri ila tu umekosa bahari naona tukifanya hivo serikaLi itapata mapato sana watu wengi watajaa sana Mwanza.

Au huo mfereji ambao utaenda Mwanza uunganishwe moja kwa moja na lile ziwa voctoria nadhani tutakua na identity yetu kama taifa maana ni jambo ambalo hamna nchi yoyote imewahi kulifanya.

Naamini viongozi wakiliona hili watalifanyia kazi maana hata ile hoja yangu niliyotoa miaka 4 nyuma ya polisi kuwa na vitambi nimeona imeongelewa na wakuu wa kwenye system mwaka huu naamini hata hili mutalifanyia kazi.

#Yesbishooohaswaaa

Unanifanya niamini ule msemo wa Tz ni channel ya vichekesho huko mbinguni
 
Back
Top Bottom